Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Salute wakuu ,niende moja kwa moja kwenye mada je wewe unavyoona ni mtu gani anaweza kuwa raisi wa"awamu ya sita" kambi zote mnaruhusiwa,utoe na fact,matusi[emoji777]
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
Kwani Mwigulu; Kigwa; Nyalandu hawapoMakamba ndo amesalia kwenye ile 42 kama unakumbuka waliochukua form na umri wake unaruhusu
Sijui hayo n mawazo yanguKwani Mwigulu; Kigwa; Nyalandu hawapo
SafiHatuhitaji mwingine. Ni yeye tu mpk Mr God aseme basi