Acha ubaguzi, hospitali za Regency, au Aga khan za watu weusi? Hebu mtaje mtanzania mweusi hata mmoja aliyejenga hospitali halafu akaifanya ya BURE kama zilivyo Temeke, Amana na Mwananyamala.jamii za kiarabu,kihindi na kipersia hawana muda na hawataki kusaidia jamii inayowazunguka.ni wao na biashara zao tu,kiujumla hawafai,maana wapo wanaexploit tu,kama ikitokea asaidie basi atapeleka kwa waarabu wenzio.
Tunatakiwa tuwe na kiongozi awatimue kama alivyofanya iddi amini
Bussiness and socialogy are two different profenals which however depend on each other.So a bussinessmen must interact with society to so as to enhance market. Huyu bwana pamoja na ajira aliyotoa kwa watanzania anapaswa kushiriki ktk shughuli za kijamii kama michezo,shughuli za kidini,hospitali na ktk nyaja za kielimu.Mbona akina Mzee mengi, Dewji na wengineo wameajili na wanajitoa kwa sector zingine?Mm namuomba ajitokeze bwana japo ni mwajiri wangu pia.
Nieleze kwanini Steve Jobs alirudishwa kuwa CEO wa Apple?Ila kwa kumbukumbu
yangu sidhani kama Steve Jobs alirudishwa Apple kwa sababu yeye alikuwa ni mmoja
wa waanzilishi.Niko tayari kurekebishwa!Na ungenipe source ya yote utakayonieleza
nitashukuru!
Kwa mujibu wa mafundisho ya waislamu HALAL ni vile vyote vilivyoruhusiwa(sio lazima iwe vyakula), HARAM ni vile vyote vilivyokatazwa. Ukibandika label ya HALAL kwenye bidhaa maana yake unamuondoa mashaka yule ambaye hana uhakika na u-HALAL wa kile anachokusudia kukinunua kwa mujibu wa imani ya dini yake, lakini haina maana kwamba vile vyote visivyokuwa na lable ya HALAL basi ni HARAM, vingine HARAM na vingine si HARAM.
<br />
<br />
anapoyachukua napajua
mkuu vp umesahau azam fc au hyo ni kambi ya jkt?
ni mchawi kinoma, mdini kishenzi..wanaofanya kwenye kiwanda chake, ikifika saa saba tu wote mnaambiwa mwende kuswali, pia ana misukule maelfu wanafanya kazi usiku kwenye hizo viwanda vyake....majini kibao...wanawake wengi wanaofanya kazi pale wamepoteza mimba wakifanya kazi pale, utakuwa wakati mwingien mtu anakuwa mjamzito inaenda kuporomokea palepale...kuna mtu namfahamu anasema, wakati mwignine mnakuta madamu yakafara yamo mle kiwandani...ajabu ajabu...
Huyu sie Said Salum Bakhressa munaemzungumzia,
ni mchawi kinoma, mdini kishenzi..wanaofanya kwenye kiwanda chake, ikifika saa saba tu wote mnaambiwa mwende kuswali, pia ana misukule maelfu wanafanya kazi usiku kwenye hizo viwanda vyake....majini kibao...wanawake wengi wanaofanya kazi pale wamepoteza mimba wakifanya kazi pale, utakuwa wakati mwingien mtu anakuwa mjamzito inaenda kuporomokea palepale...kuna mtu namfahamu anasema, wakati mwignine mnakuta madamu yakafara yamo mle kiwandani...ajabu ajabu...
Acha ubaguzi, hospitali za Regency, au Aga khan za watu weusi? Hebu mtaje mtanzania mweusi hata mmoja aliyejenga hospitali halafu akaifanya ya BURE kama zilivyo Temeke, Amana na Mwananyamala.
Bussiness and socialogy are two different profenals which however depend on each other.So a bussinessmen must interact with society to so as to enhance market. Huyu bwana pamoja na ajira aliyotoa kwa watanzania anapaswa kushiriki ktk shughuli za kijamii kama michezo,shughuli za kidini,hospitali na ktk nyaja za kielimu.Mbona akina Mzee mengi, Dewji na wengineo wameajili na wanajitoa kwa sector zingine?Mm namuomba ajitokeze bwana japo ni mwajiri wangu pia.[/QUOTE
....... anajenga misikiti, anasaidia wajana ikiwa pamoja na matibabu. ana timu ya mpira ambayo anaiendesha kisasa, ikiwapo na kituo (academy) cha mafunzo. mambo yake mengi ya kijamii anajitahidi kuyafanya katika mtizamo na nidhamu ya kiislaam (......sijui unanielewa hapo?) ........hana haja ya kujitokeza na matangazo, kama mengi anavyolisha maalbino.
Ile ngano kweli ilimwagwa lakini ilikuwa ni majungu na kama "alishtaki kwa Mwenyeezi Mungu" kama usemavyo basi Mungu alimuitikia kwani alilipwa fedha nzuri tu na Bima ya SGS kwani Ngano ilikuwa approved kabla ya kupakiwa na meli iliyopakia ilikuwa approved, yeye alikuwa hana kosa kabisa.
Nakumbuka wakti mmoja ngano yake shena nzima ilimwagwa jalalani chini ya ulinzi mkali. Sijui he rubbed shoulders the wrong way au vipi. Anyway in his usual customary down to earth manner kashitaki kwa mwenyezi Mungu.