Bussiness and socialogy are two different profenals which however depend on each other.So a bussinessmen must interact with society to so as to enhance market. Huyu bwana pamoja na ajira aliyotoa kwa watanzania anapaswa kushiriki ktk shughuli za kijamii kama michezo,shughuli za kidini,hospitali na ktk nyaja za kielimu.Mbona akina Mzee mengi, Dewji na wengineo wameajili na wanajitoa kwa sector zingine?Mm namuomba ajitokeze bwana japo ni mwajiri wangu pia.[/QUOTE
....... anajenga misikiti, anasaidia wajana ikiwa pamoja na matibabu. ana timu ya mpira ambayo anaiendesha kisasa, ikiwapo na kituo (academy) cha mafunzo. mambo yake mengi ya kijamii anajitahidi kuyafanya katika mtizamo na nidhamu ya kiislaam (......sijui unanielewa hapo?) ........hana haja ya kujitokeza na matangazo, kama mengi anavyolisha maalbino.