Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

Huku ikifahamika wazi kiwanda cha Azam Cola ni cha mheshimiwa mkuu aliyepita kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka mpaka uzinduzi alienda mwenyewe.

Habari mpya ni kwamba utajiri wa bwana Bakhressa ni wa mh Salim Ahmeid Salim yasemekana wakati jamaa yupo au alipiga pesa mingi sana kuhofia kuonekana fisadi akamkabidhi bakhressa aendeshe kwa makubaliano maalumu

Waduvi wanadai bakhressa anamiliki Ice Cream Azam Tv vingne,yeye ni mshika pembe
 
Huku ikifahamika wazi kiwanda cha azam cola ni cha mheshimiwa mkuu aliyepita kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka mpaka uzinduzi alienda mwenyewe.

Habari mpya ni kwamba utajiri wa bwana bakhressa ni wa mh salim ahmeid salim yasemekana wakati jamaa yupo au alipiga pesa mingi sana kuhofia kuonekana fisadi akamkabidhi bakhressa aendeshe kwa makubaliano maalumu

Waduvi wanadai bakhressa anamiliki ice cream azam tv vingne,yeye ni mshika pembe
Uhaba wa sukari unasababisha watu mchanganyikiwe!!
 
Ttzo mmezoeshwa sukari sasa unaona ufanye timing ile uje gahwa siku iende ona madhara yake sasa
 
Miaka ya nyuma walisema magari ya mwanamboka ni ya salim. Sasa mmehamia kwa bakhresa. Kwa nini hatutaki kuamini kuwa mtu kanyanyuka kwa juhudi zake?
 
Ujinga mtupu, mwingine nishawahi kumsikia akisema utajiri wa bakhresa ni wa Mwinyi. Kwani hao viongozi hawawezi kuwa na biashara zenye majina yao mpaka watafute watu wengine? Wao hawajui kuwa duniani hakuna siri?
 
Sawa! Inabidi fobes waweke takwimu zao sawa
 
Mbona hii ishu ipo siku mingi tu ,wanasema aliye nyuma ya Azam ni Salim
 
Huku ikifahamika wazi kiwanda cha azam cola ni cha mheshimiwa mkuu aliyepita kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka mpaka uzinduzi alienda mwenyewe.

Habari mpya ni kwamba utajiri wa bwana bakhressa ni wa mh salim ahmeid salim yasemekana wakati jamaa yupo au alipiga pesa mingi sana kuhofia kuonekana fisadi akamkabidhi bakhressa aendeshe kwa makubaliano maalumu

Waduvi wanadai bakhressa anamiliki ice cream azam tv vingne,yeye ni mshika pembe

Kuna ukweli fulani kwa asilimia 78.5%
 
Back
Top Bottom