Who is Salim Ahmed Salim?

Who is Salim Ahmed Salim?

FMES
hebu tujaribu kuliangalia hili jambo kwa upande wa pili wa shilingi.

tumeona kuwa Salim alifanya kazi yake aliyotumwa na taifa kwa moyo mmoja na kwa mafanikio makubwa. kwa hiyo hapo suala la upendeleo hata kama lilikuwepo lakini jamaa alionyesha uwezo wake barabara.

Salimu kufanya kazi nje haiwezi kuwa ni hukumu kwake eti kwamba kaifanyia nini Tanzania locally?, hili ni swali la ajabu kwa sababu hata huko nje aliko bado anafanya kazi aliyotumwa na taifa, manufaa anayoyapata huko yanaligusa taifa kwa namna moja au nyingine kwa sababu huko nje(akiwa balozi,au kazi yeyote yenye kudhaminiwa na taifa) anakwenda kutetea sera za taifa.

kama mtu ni daktari na kafanya kazi yake ya kutibu watu vizuri kwa nini umlalamikie eti kwa nini hafundishi wakati unafahamu wazi mgawanyo wa kazi haukumpa jukumu la ualimu?

mfano huu ni sawa na mfano Salim A salim, yeye kafanya kazi ya Udiplomasia vizuri kabisa, kazi aliyotumwa na taifa utamlalamikia vipi kwamba kafanya nini locally, wakati kwanza hata nyumbani hayupo?

mimi ninaona kipimo kizuri ni kuangalia katika wanasiasa wote waliokuwa na jukumu katika position zao bila ya kujali ni position gani je wamefanikisha vipi majukumu yao? ukiangalia kwa kipimo hiki utagundua kuwa Salim alifanya kazi kwa mafanikio makubwa mno.

then tunakuja kuangalia kama huyu mtu ambaye alipewa jukumu zito na taifa akalifanya kwa kufanikisha atashindwa kulifanya jukumu lingine kwa mafanikio?, then hapo tunaweza kusema kwamba kwa kuwa huyu ana historia ya kufanikisha kazi anayopewa basi tumpe huyu jukumu zito kuliko kuwapa jukumu hilo hilo wale ambao wameshaprove failure katika majukumu waliyopewa hapo awali.

Je kukasirika ni arrogance?. hapana kukasirika siyo arrogance kila mtu anakasirika, ni nadra kutendewa mambo mabaya na aibu mtu usikasirike!, sasa iweje Salim ndo asikasirike?.

kuhusu siasa za ujanja ujanja ambazo unasema Salim lazima azipass ili ndo aweze kuaminika kutuongoza Watanzania, mimi ninasema hizo siasa hazifai na si kipimo cha kufaulu ili tuweze kumuamini mtu ili tumpe uwongozi, ni siasa za kupiga vita.na kwa mtu makini hawezi kuzicheza siasa za namna hiyo ili kuweza kuleta mabadiriko yanayotakiwa nchini, kuanzia
1:ujanja ujanja wa mikataba mibovu
2:ujanja ujanja na ulaghai katika siasa
3:ujanja ujanja wa kufoji vyeti vya shule
 
1.
hebu tujaribu kuliangalia hili jambo kwa upande wa pili wa shilingi. tumeona kuwa Salim alifanya kazi yake aliyotumwa na taifa kwa moyo mmoja na kwa mafanikio makubwa. kwa hiyo hapo suala la upendeleo hata kama lilikuwepo lakini jamaa alionyesha uwezo wake barabara. Salimu kufanya kazi nje haiwezi kuwa ni hukumu kwake eti kwamba kaifanyia nini Tanzania locally?, hili ni swali la ajabu kwa sababu hata huko nje aliko bado anafanya kazi aliyotumwa na taifa, manufaa anayoyapata huko yanaligusa taifa kwa namna moja au nyingine kwa sababu huko nje(akiwa balozi,au kazi yeyote yenye kudhaminiwa na taifa) anakwenda kutetea sera za taifa.

Hapana mkuu, labda unataka tuangalie upande wako lakini sio wa pili wa shillingi, maana upande wa kwanza wa shillingi ni kwamba Salim alibebwa Mwalimu, sio taifa, meaning kwamba kule nje aliwakilisha vizuri mawazo ya Mwalimu, lakini sio taifa, as the results akaheshimika sana huko nje, lakini sio kwa taifa letu hapa nyumbani kwa sababu as taifa hatukumtuma huko nje, ndio maana baada ya Mwalimu kuondoka tumemkata kata kata hapa kwenye taifa kwa sababu hatumjui, anyemjua ni Mwalimu tu na sasa hayupo tena, au?

2.
mfano huu ni sawa na mfano Salim A salim, yeye kafanya kazi ya Udiplomasia vizuri kabisa, kazi aliyotumwa na taifa utamlalamikia vipi kwamba kafanya nini locally, wakati kwanza hata nyumbani hayupo? mimi ninaona kipimo kizuri ni kuangalia katika wanasiasa wote waliokuwa na jukumu katika position zao bila ya kujali ni position gani je wamefanikisha vipi majukumu yao? ukiangalia kwa kipimo hiki utagundua kuwa Salim alifanya kazi kwa mafanikio makubwa mno.

Salim labda alifanya kazi kwa mafanikio makubwa huko nje, lakini tatizo ni kwamba hakufanya anything katika miaka yake 9 ya uongozi bongo ambako ndiko hasa kunako count unapotaka kuomba urais wa bongo na sio wa nje, ingawa pia tunaweza kuuliza kuwa kama rekodi yake huko nje ilikuwa murua iweje kwamba hakuwahi kupata hata nafasi ya unaibu wa katibu wa UN, licha ya ukatibu wenyewe aliougombea sana? au na huko nako walikuwa wanamshitukia kama sisi bongo? au nao walikuwa wanamchukia bila sababu kama sisi huku?

3.
kuliko kuwapa jukumu hilo hilo wale ambao wameshaprove failure katika majukumu waliyopewa hapo awali. Je kukasirika ni arrogance?. hapana kukasirika siyo arrogance kila mtu anakasirika, ni nadra kutendewa mambo mabaya na aibu mtu usikasirike!, sasa iweje Salim ndo asikasirike?.

Kama ni ku-prove failure nafiri hakuna anayemzidi Salim, kwa sababu hapa bongo hatuna rekodi yake kabisaa zaidi tu ya mitumba kule kusini, na yes kukasirika ukikosa kuchaguliwa ni arrogancy ambayo Kikwete, hana ndio maana next time arround aliposimama akashinda baada ya kudhulumiwa 1995, sasa huyu anyekasirika hata bila ya kupata je ingekuwaje angeshinda halafu akaenguliwa bila sababu? Si angeua mtu huyu? Ndio tunataka viongozi wastaarabu wasiokuwa na hasira kiasi hicho cha hasira za Salim, maana ni hatari sana kwa taifa. Maaana hasira ni hasara sana, au?

4.
kuhusu siasa za ujanja ujanja ambazo unasema Salim lazima azipass ili ndo aweze kuaminika kutuongoza Watanzania, mimi ninasema hizo siasa hazifai na si kipimo cha kufaulu ili tuweze kumuamini mtu ili tumpe uwongozi, ni siasa za kupiga vita.na kwa mtu makini hawezi kuzicheza siasa za namna hiyo

Ndio maana wengine tupo hapa JF, lakini otherwise mpaka tutakapoweza kuzibadili hizo siasa za mizengwe ndani ya CCM, ambayo ilianzishwa na muasisi wake Mwalimu, tutaendelea nazo as litmus test ya uongozi wetu ndani ya CCM, unajua taifa sio CCM, sasa kwenye taifa tunapowachagua CCM maana yake ni kwamba tunakubaliana nazo, sasa Salim hana choice kama anataka urais wetu hakuna mtu wa kumbeba tena, ila ni kujibebab mwenyewe na kusimama ahesabiwe!

4.
ili kuweza kuleta mabadiriko yanayotakiwa nchini, kuanzia
1:ujanja ujanja wa mikataba mibovu
2:ujanja ujanja na ulaghai katika siasa
3:ujanja ujanja wa kufoji vyeti vya shule

This has nothing to do na uchaguzi wa ndani wa CCM, uliomshinda Salim, kwa sababu kama tatizo la Salim ni hili basi angekwenda upinzani, ili apambane na huu ujanja ujanja wa taifa hakuna aliyemkataza au?
 
Hsapana mkuu, labda unataka tuangalie upande wako lakini sio wa pili wa shillingi, maana upande wa kwanza wa shillingi ni kwamba Salim alibebwa Mwalimu, sio taifa, meaning kwamba kule nje aliwakilisha vizuri mawazo ya Mwalimu, lakini sio taifa, as the results akaheshimika sana huko nje, lakini sio kwa taifa letu hapa nyumbani kwa sababu as taifa hatukumtuma huko nje, ndio maana baada ya Mwalimu kuondoka tumemkata kata kata hapa kwenye taifa kwa sababu hatumjui, anyemjua ni Mwalimu tu na sasa hayupo tena, au?

hapana mkuu:

kwamba kupambana na makaburu kule Un ni mawazo ya mwalimu na si ya taifa!
kwamba kushinikiza vikwazo kwa Rhodesia(zimbabwe) ili wazalendo wapewe uhuru ni mawazo ya mwalimu na Si ya Taifa!

by the way alienda kule kama mjumbe maalum wa Mwalimu nyerere ? au alikwenda kama muwakilishi Kutoka jamhuri ya muungano Wa Tanzania aliyetumwa na Raisi nyerere kwa mujibu wa katiba chini ya mamlaka ya raisi.

argument ya kwamba kaenda kuwakilisha mawazo ya nyerere na si mawazo ya taifa inanishangaza kidogo, labda uniweke wazi ni mawazo gani hayo ya Nyerer aliyokwenda kuwakilisha katika UN?
na ni mawazo gani ya Taifa ambayo hakuyawakilisha huko katika UN au OAU

yule alikuwa ni balozi kwa Tiketi ya tanzania, alienda kama taasisi kufanya kazi Ya Taifa, huwezi kusema huko UN alifanyia kazi mawazo ya mwalimu na si Taifa. labda utaniprovia mawazo gani ya Nyerere yaliyokinzana na mawazo ya taifa ambayo Salimu aliyasimamia kwa nguvu zote. ninasubiri!
 
Nafikiri nimesema ya kutosha kwamba angekuwa anatuwakilisha taifa kule UN, basi Mwalimu alipojaribu kumpitisha kwenye vikao vya CCM awe rais wetu, asingepata matatizo ya kukataliwa,

Kukataliwa kwa Mwalimu na wajumbe wa NEC, ilikuwa ni clear kuwa hawakuwa-impressed na kuanzia uwakilishi wake kule UN au nje kwa ujumla, na the fact kwamba CCM tumemkataa baada ya Mwalimu kuondoka, ina maana moja tu kuwa tumekataa kuwa hakuwa anatuwakilisha taifa kule nje bali Mwalimu aliyekuwa anambeba,

Mambo ya makaburu na walowezi Zimbabwe, yalikuwa ni ya Mwalimu binafsi, sio sisi wabongo wote kwamba tulitaka kutoa huko kila kitu chetu, halafu ili leo Mozambique iwe na uchumi mzuri kuliko wetu, kama vile ambavyo haikuwa choice yetu wote wananchi wa Tanzania kumuingilia Idd Amini mpaka Kampala, na kuishia kuwa masikini wa kutupwa kama tulivyo sasa huku Uagnda ikiyoyoyma mbele kiuchumi, sisi tiliowakomboa tunakula vumbi.

Mkuu naomba niishie hapa, maana nimesema ya kutosha kwamba kama mwananchi wa Tanzania, ninayo haki kama wengine ya kutoa maoni yangu kuhusiana na kiongozi yoyote, kwa ku-present hoja na facts, bila chuki wala majungu, nafikiri nimejitahidi on that, sasa naomba ku-retire kutoka hii topic, sasa ni wakati wa wananchi kuamua au kuendelea na hii topic.

Msimamo wangu ni kwamba Salim hafai kabisaa kuwa rais wa taifa letu.

Ahsante Mkuu!
 
1.

Mkuu heshima mbele, Mwalimu alionea wapi uwezo wa Salim akiwa na miaka 22? Kwani kwenye hiyo miaka 22 alikuwa amewahi kufanya nini kwa taifa na akiwa kwenye nafasi ipi? Nijuavyo mimi ni kwamba Salim, alijihusisha na siasa za Sultani na Weusi huko Visiwani, na Mwalimu alimuokoa tu kabla hajapewa dharuba za hizo siasa,

Halafu wakuu acheni kututisha na jina la Zitto, naona linatolewa na kila mchangiaji anayemuunga mkono Salim, na uongozi wake wa kubebwa na Mwalimu, akisema Zitto haina maana basi ndio authority kwenye ishu, cha muhimu ni hoja, swali langu kwako mkulu ni vipi wa-Tanzania wengine waliokuwa in their 20s hawakuchaguliwa na kupewa na nafasi na Mwalimu, kama Salim?

2.

Hili mkuu hatulikatai, ni kweli alifanya mengi mazito huko nje ambako ndiko hasa anakoheshimika, lakini kwa bahati mbaya hakutufanyia lolote bongo ndio maana hatuwezi kumpa uongozi wa juu kama urais kwa sababu hatumjui kama anvyojulikana huko nje!

Itabidi nikifika Dar nireview,matharani magazeti ya miaka ya 80 yalirecord vipi utendaji wake.
hata hivyo ngoja tumsikilize na yeye kidogo, kama alivyonukuliwa na gazeti la kimisri mwaka 2001, nadhani kauli zake zilizomo humu zaweza kutudokeza si tu mitizamo yake bali hata utendaji:
An enthusiast for African development, Salim sees his leaving office as a chance to work at different levels and in a less official capacity for the social, political and economic development of Africa. "I would like to keep abreast of developments in Africa. I would like to remain in the service of Africa," he explains. Like Nyerere, Salim is a socialist at heart. "I am all for market liberalisation. But when income differentials are very great, crisis ensues. State intervention is crucial to ensure the welfare of the most vulnerable segments of society." Will his spellbinding career wind down after he leaves office. "This is a time to reflect, to recollect," Salim says. The Nyerere Foundation is the perfect means for reaching out to non- governmental organisations (NGOs) and civil society at large without breaking his old ties with Africa's political establishment. One difficulty Salim encountered as OAU secretary-general was working more closely at grassroot level. The Pan- African body was too much of a presidents' club. Salim worked at constructive non-partisan relations with African leaders of different political and ideological hues. He cleverly used his diplomatic skills and contacts to build a consensus at the OAU.
Africa has come a long way, Salim insists. Barely a decade ago, South Africa was still in the throes of the apartheid system. Most African states at the time were ruled by military juntas or quasi-military dictatorships. "We have seen the total eradication of colonialism as well as institutionalised racism," Salim pointed out. "The signing and coming into force of the Abuja Treaty establishing the African Economic Community was a manifestation of a determination to advance our collective destiny, and a reaffirmation of a strong faith in each other. It marked a resolute effort aimed at fostering closer co-operation and integration among the peoples of our continent," Salim extrapolated.
The outgoing OAU secretary-general is especially proud of what he terms "our [Pan- African] determined effort and success in maintaining the relevance of our organisation internationally." Salim insists that it took considerable courage and dogged persistence to achieve. "This [success] was not by coincidence or happenstance," he explained. "Our credibility and legitimacy have come as a result of the seriousness with which we have approached the affairs of our continental organisation. Increasingly our member states in particular, and the people of our continent in general, are according great importance and extending profound goodwill to our collective undertakings." In 1964, and at the remarkably youthful age of 22, Salim was appointed his country's ambassador to what was then the United Arab Republic. In Cairo he worked closely with the numerous representatives of the African liberation movements and he has fond memories of the African Society, 5 Ahmed Hishmat, Zamalek, where offices of the various African liberation movements were housed. This was Salim's first introduction to a coterie of African revolutionary characters who were to become the presidents and ministers he worked closely with two decades later. "Cairo has always been home to me," he says.
His tenure as ambassador to Egypt was short-lived. In 1965 he was appointed ambassador to India. His sojourn in Egypt was jam- packed with fruitful endeavours.




________________________________________
...From Egypt, he was transferred to India where he spent four of the most rewarding years of his life. In India he met yet another set of African diplomats and dignitaries and he found time to complete his graduate studies as well. China was next. At this point, his diplomatic career looked like it was soaring from one height to the next, always spiralling upwards. After a stint at the United Nations in New York, Salim was appointed minister of foreign affairs. A number of senior cabinet posts followed, including minister of defense and prime minister.
However, the most significant day of his life, one which dramatically altered the course of his career, was when on 27 July 1989 Salim was elected secretary-general of the OAU. "I was elected at the 1989 OAU summit under the chairmanship of President Hosni Mubarak. Salim was re-elected as secretary-general of the OAU in 1993, "interestingly enough once again under the chairmanship of President Mubarak, who I consider as one of the strong pillars of the OAU."
The phone rings incessantly, interrupting our conversation. He frowns in irritation, but is always gracious and convivial when speaking on the phone. It was well past midnight and he had a plane to catch back to Addis Ababa in two hours. Frequent flying is one of the more exhausting aspects of the job. Travelling around Africa, even in presidential jets, business and first-class luxury was never easy.
"I have kept a travel log, and I have made over 1,000 air trips, mainly travelling in Africa. It has been a tremendous educational and humbling experience as I witness the vastness and rich diversity of Africa. But it has been an exhausting experience as well. I have visited every single country on the continent save two -- Equatorial Guinea and Sao Tome.
Salim moves deftly for a man of his vast bulk. In sharp contrast, his beautiful wife Amne, a compatriot of his, has kept a delightfully trim figure. They have three children whom Salim is very proud of. He says that his kids have not been adversely affected by his being constantly on the move. He son Ali is a successful surgeon; his daughter Maryam, a law graduate with a masters in public administration from Johns Hopkins University, is a World Bank employee. Their younger sibling Ahmed is still at secondary school.

Salim came to national Tanzanian, regional and international attention when he was in his twenties. He was director of the Africa and Middle East Division at the Tanzanian Ministry of Foreign Affairs before being posted in 1969 as ambassador to the People's Republic of China.
During his time at the UN Salim was concurrently accredited to Cuba and a number of smaller Caribbean islands including Jamaica.

Salim was deeply involved in national Tanzania politics before his appointment as OAU secretary-general. He held several key positions in the Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania's ruling party, serving as central committee member and member of the CCM National Executive Committee from 1982 to 1989 while simultaneously serving as the party's secretary for foreign affairs. From 1984 to 1987 as secretary of the CCM National Defense and Security Commission.
So is it time for him to jot down his memoirs? "Far from it," he dismisses the idea outright. "I do want to write, but not my memoirs. The problem with memoirs is that people talk to me in confidence about sensitive issues, including what are deemed top state secrets. I cannot betray their trust," he explained. "Moreover, I will inevitably annoy, even anger, many people if I do so. Prickly events are still fresh in people's minds, others ongoing. Many distinguished personalities in Africa and abroad might feel embarrassed if I write freely and honestly about my experiences working with them or about the roles they played in the often turbulent and controversial developments that swept the continent in the past decade. Too many feathers will be ruffled at this particular historical juncture," the outgoing OAU secretary-general chuckled.
Now the burning question. Was Salim denied a fourth term in office against his will? Is there truth in the rumours flying about Lusaka that some African leaders conspired to push Salim away from the helm? Salim dismissed any such suggestions. "These rumours have no basis whatsoever. I made my decision early last year to step down.
In Lusaka, some African leaders wanted Salim to stay on for another year, the transitional period, until the OAU officially becomes the AU. But Salim politely declined the kind offer. "What can I do in one year, that I could not have done in 12," he explained. "Also one must always know when to leave."
"All the talk about my being pushed out is nonsense. If I was interested in seeking another term for re-election I would have done so. Many African leaders urged me to do just that. But, I believe it is time to infuse fresh blood into the organisation. Only under one condition would I have changed my mind, that is if there was total agreement and consensus among the continent's leaders that I had to stay." We left it at that.
So is Salim angling for a political position back home? But as an afterthought, I wondered where home would be for the outgoing secretary-general. "Before I was elected OAU secretary-general, I was Tanzanian first. Today I would say I am African first. I see no contradiction between my triple identities -- African, Tanzanian and Zanzibari."
Salim was born and bred in the Indian Ocean island of Zanzibar, off the East African coast, at a time when it still had close links to the Sultanate of Oman. At the time of his birth in 1942, the official residence of the Sultan of Oman was located in Zanzibar. It was a time of great social upheaval, and the seeds of revolution were sown. An extremely violent revolution did erupt in the fifties. Those of the Arab ruling elite whose lives were spared fled the island. The African majority, many of whom were enslaved for centuries, rose up to usurp power. They were supported, at least morally if not materially and militarily, by the mainland Africans. In due course, Zanzibar merged with mainland Tanganyika to form the United Republic of Tanzania. These turbulent events provided the dramatic backdrop against which Salim was raised, and they shaped his character and the political opinions of his formative years. They left an indelible mark on his psyche, and an insatiable appetite for politics and history.
"As a student of history I recall that not many had given the OAU much of a chance of surviving the turbulence that went with the efforts to consolidate the gains of the post-independence era of African politics. It was a period during which our aspiration for greater unity and cohesion in Africa was repeatedly threatened, in spite of the strong vision of a united continent that many founding fathers of the OAU advocated and defended jealously. They refused to be intimidated by the daunting nature of the challenges that confronted them."
There were some harrowing moments for Salim as OAU secretary-general. The worst, he recalls was when inspecting the mass graves of victims of the Rwandan massacres. Another terrible incident was when on a visit to Sierra Leone he was introduced to a little girl, Maimouna, who had her ears, hands and legs chopped off when still a suckling infant. He cannot understand what motivates some people to commit such atrocities. The world watched in paralysed horror at the senseless and sanguinary violence that engulfed broad swathes of the African continent.
The most exhilarating moment of his years in office is when former South African President Nelson Mandela was released from prison and when he was elected president of a democratic, non-racially segregated South Africa, in a landslide victory. Another inspiring moment was when the African Union was proclaimed in Sirte, Libya earlier this year and again in Lusaka.
"Today I appeal to you, the successor generation of leaders and champions of our new Pan- African quest, to once again find that innermost strength to move our continent to a new level of unity, which irrespective of country, race, creed, ethnicity and religion, can galvanize our people for action," Salim said at the opening session of the 37th OAU summit in Lusaka.
It was his last address at an OAU summit as the Pan-African body's secretary-general. And he delivered a powerful speech, certainly the most poignant of his long and distinguished career.
"The Constituent Act [of AU] provides the political and institutional underpinnings of our desired union in terms of the basic framework. Now that we are embarking on establishing the structures of the African Union, it is imperative that further guidelines be developed with a view to identifying the modalities. This is to ensure that the enhanced unity we have committed ourselves to forge is fully and effectively embedded into the organs and institutions which we are about to establish," he told the assembled African leaders in Lusaka.
More easily said than done? No, he is optimistic by nature. In spite of the many raging conflicts in Africa he sees a silver lining lacing the darkening clouds gathering over the continent's trouble spots. Democracy is taking root in many African countries and there is a heightened awareness of the sanctity of human rights, a greater role played by civil society and the proliferation of non-governmental organisations even as economic conditions worsen in many parts of the continent.
"This is a time of tremendous opportunity for Africa. We must make great capital of this sense of hope and possibility, as a foundation upon which we can secure and construct the future of our continent. There is, I believe, a coincidence of great opportunity and propitious time, we need to seize both the moment and the opportunity."

Halafu Mkuu, sikutishi na jina la Zitto, nime-refer tu mchango wake.
 
Itabidi nikifika Dar nireview,matharani magazeti ya miaka ya 80 yalirecord vipi utendaji wake.

Labda next time mkuu ungefanya hivi kabla ya kuingia kwenye mjadala na kumfagilia kiongozi ambaye unasema mwenyewe hapa kuwa hufahamu rekodi zake kwa taifa unalotaka awe rais wake.

Ila heshima mbele kwa kukubali kuwa huna hizo rekodi, ambazo wengine tunazo.
 
Field Marshall,
Kama unazo mbona umezikalia? Nashawishika kusema huna. So far mimi nina ninachokifahamu tayari, hiyo review ninayoisema ni search for even more.
 
Mkuu Field Marshal Es,

Nadhani umezunguka vya kutosha kweli maanake naona hata maana ya mada hii inapotea.

Swala la Salim kuwa rais nimeuliza ni vigezo gani vinavyokufanya wewe useme Salim hafai zaidi ya kumtumia Nyerere kwa kila jambo wakati sijaona serikali yoyote iliyokuwa formed bila rais kuwa mteuzi wa viongozi wake iwe wizara ama Balozi.

Sasa ingekuwa ajabu na mawazo yako kuwa na mvuto ikiwa mawaziri na mabalozi huchaguliwa na wananchi kuunda serikali kwa hiyo sioni unakoelekea haswa. Sijui ulitaka nani amchague maanake hiyo serikali sijawahi kuisikia.

Kuhusu swala la Sokoine nimesema kwamba ni yeye alikuwa waziri mkuu wakati UDA inakuwa formed hupendi kwa sababu unatazama mwisho wake ambao pia yeye alirudi kuwa waziri mkuu tena..Na kusema kweli ni aibu kubwa kusema daladala ni solution ya Usafiri Dar Es Salaam kama vile hukuwahi kuishi miaka ya 70 to mwanzoni 80's wakati UDA ipo ktk pick. Sasa inapotokea kudorora kwa wafanyakazi, pengine kupanda kwa bei za mafuta, wizi wa vipuli utamlaumu nani haswa kama sio waziri mkuu ambaye ndiye mkuu wa bajeti yetu kiserikali. daladala ni alama kubwa ya Umaskini na nchi zote maskini hutegemea usafiri wa namna hii...kiasi kwamba leo hii Dar kila mfanyakazi ana gari..hesabu ya magari Dar imeongezeka mara 10 kuliko wakati wowote ule na polution ni mara 10 vile vile..acha hizo athari za ajali barabarani za kina Marehemu Dito.

Halafu basi jahazi letu la kiuchumi lilianza kuvuta maji Sokoine akiwa waziri mkuu ktk term yake ya pili na ndiye anayefahamika kwa utendaji wake wa kazi na ushinikizaji mbaya wa AZIMIO la ARUSHA ktk ngazi zote za kitaifa.
Sokoine alikuwa na sifa zake hii haina tatizo hata kidogo wala hakuna mtu anayesema hakuwa kiongozi mzuri lakini sidhani kama alifaa kuwa rais ktk kipindi chochote kile...down fall ya Tanzania ilikuwa ktk kipindi chake kabla Msuya hajashika kumalizia.

Another thing, Salim alishika madaraka ya waziri mkuu mwaka 1984 miezi michache kabla ya mwalimu kutangaza kujiuzuru kwake na toka hapo ndipo alishika wadhifa tofauti wakati nchi tayari imekwisha kuingia ktk Ubepari chini ya uongozi wa Mwinyi Jan 1985.

Sasa wewe nambie hivyo vyeo ndani ya serikali yetu tukiwa bado wajamaa ni vipi kama sio kazi za Ubalozi.
Nakubaliana nawewe kuwa yawezekana Salim hakufaa kuwa rais wetu kwa sababu moja ya kimsingi - Huyu sio reflection yetu, hivyo hakuwa na sifa za kuongozi Wadanganyika...

Ukiniuliza leo hii kama anafaa bado kuwa rais nadhani jibu langu litakuwa hafai lakini kama ni kuitazama CCM basi the only option we have kutokana na matatizo tuliyokuwa nayo ndani ya CCM ni kumchagua mtu nje ya mafia zote mbili.

Mafia ya Malecela na hiyo ya kina Kikwete...someone who from day one katuonyesha kwamba alipingana na utawala wa Kisultan na pia hakukubali mrengo unaokumbatia makabila kama ASP...mtu huyo ni SALIM
akiwa mdogo kiumri aliweza kuona kwamba kuna itikiadi za Kijamaa badala ya kuendekeza ubaguzi wa rangi na makabila ambao ulikuwa sumu ya umoja wa Wazanzibar. Kisha akiwa waziri mkuu chini ya Mwalimu toka April 1984 hadi alipoingia Mwinyi uhusiano kati ya bara na visiwani ulikuwa mkubwa sana na ulidumu kwa kipindi chote cha Mwinyi.

Mkuu umefikia hata kusema mambo ya Zimbabwe na South yalikuwa ya mwalimu mwenyewe....sasa sikuelewi kabisa unachojaribu kusema hapa kwani maandishi ya mwalimu yalitakiwa mtu wa kuyatekeleza na Salim akiwa kama rais wa Security council alihakikisha malengo hayo yamefikiwa pamoja na kwamba sifa zote zilimfuata Mwalimu.

Huyo mama Rose pamoja na kumheshimu kote anafanya nini kuhusu Darfur, Nigeria, Chad, na Congo?
Hata haya matatizo madogo ya Kenya na Zimbabwe hatujasikia hata kainua mkono kutoa solution ya matatizo hayo. yet binafsi siwezi kumlaumu kwa sababu kazi kama hizi kuzi peleka kwa vitengo vinavyohusiana na maswala hayo kwa hiyo kaa hakuna ufumbuzi Zimbabwe sio dalili ya kuonyesha udhaifu wake ktk kazi yake ama hafai kuwa rais wa Tanzania mwanamke.
 
Mimi katika Mjadala huu naona tunataja majina wakati mwingine tunasahau wakati tunaangalia watu na CV zao tunasahau kitu kimoja.

Kitu hiki ni kwamba hivi RAIS wa Tanzania anatakiwa awe na sifa zipi?

Kuna challenge gani ambazo akiingia Ikulu ataweza kuzipata?

Je katika historia/Uwezo wa huyu mjadiliwa anaonekana vipi kuface challenge hizi na kuweza kuzishinda.

Nikiangalia tunacho kiona kwa SALIM hakina tofauti kubwa sana na Mkapa. Hawa wote wawili ni wanadiplomasia.

MKuu mwanahabari maandishi aliyoyaweka unaweza kuhudhuria Mikutano kulingana na cheo hata usiseme neno lolote kwa hiyo mimi katika CV ningeomba niyaondoe yote.
 
HUU MJADALA BORA TUACHE TU MAAANA MWENYEWE ALISHASEMA SIASA ZA BONGO BASI
ALIDECLARE KUNG'ATUKA SIKU NYINGI MBONA!
Lakini kamjadala kalikuwa katamu. Labda tumtakie tu kiinua mgongo chema.

"Ni dhahiri sigombei, kwani nilishagombea na kukaa kwenye madaraka kwa muda mrefu, hivyo si lazima nigombee, nimeamua kung'atuka," Salim
 
Kwa Wavuja jasho wa miaka ile ya themanini Salim atakubukwa kwa
  • kurejesha uhai katika kiwanda cha Bora, Kabla ya wapo wengi, kuanzia wanafunzi hadi wafanyakazi walikuwa wanakimbilia kata mbuga
  • Jeshi la Ulinzi(JWTZ) lilikuwa taabani katika usafiri- kupitia kwake auheni ilipatikana
  • Kutunga na kuanza kuteleza sera ya kipindi cha mpito- Lengo ni kuwakomboa wavuja jasho
 
Mkuu Kibunango

Kuna tofauti gani kati ya challenges ya miaka ya themanini na sasa?
 
Mkuu Kibunango

Kuna tofauti gani kati ya challenges ya miaka ya themanini na sasa?

Kamanda:
Challenges zipo karibu sawa, tatizo la sasa ni lipo kwa hao ambao wamepewa dhamana ya kupambana na challenges hizo kushindwa kujituma kwa manufaa ya waliowapa dhamana.
 
Kamanda:
Challenges zipo karibu sawa, tatizo la sasa ni lipo kwa hao ambao wamepewa dhamana ya kupambana na challenges hizo kushindwa kujituma kwa manufaa ya waliowapa dhamana.

Kweli Mkuu hila kwa sasa pamoja na hilo ninacho kiona ni kwamba kwa yeyote anayeona suala hilo na akakaa kimya ujue kwamba hata akipewa hakutakuwa na tofauti.

Mara nyingi wale watu wenye uwezo pale ambapo kunaonekana kuna tatizo(challenge) huwa hawaongelei kwenye blankenti. katika hali halisi ya tanzania ya sasa viongozi wenye uwezo wa kutoa maamuzi, kuface challenges na kuweza kuzishinda utawaona sasa.

Walionyamaza wachukulie hivyo na huo ndo uwezo wao wa kuchukua maamuzi pale watakapo kuwa hata madarakani.
 
Wakuu nimeomba ku-retire, lakini naona bado tu kuna mashambulizi, ninaomba kurudia kuwa kwa mtizamo wangu mimi ni kwamba Salim hawezi kuwa rais wetu, hata akijaribu tena na tena kwa sababu hana huo uwezo,

ninarudia kuwa ni kweli amefanya mengi sana huko nje, lakini kwa bahati mbaya hakufanya lolote la maana as a political record kwetu sisi wa-Tanzania, ndio maana hatuwezi kumchagua,

Sasa kwa wale mnaotaka kuendelea na mjadala naomba muendelee bila kunihusisha kwa sababu ni wengi ambao tumechangia huu mjadala, niemsema ya kutosha, kuwa aliyoyafanya Salim huko UN, sasa hivi by the time Mahiga akimaliza muda wake hukjo atakuwa amefanya mengi kuliko hata ya Salim, maana hayo yanakuja na territory, lakini Mahiga, akitaka urais wa bongo atahitaji kuweka record straight ametufanyia nini bongo?

Otherwise mjadala ni mzuri, ila kama kawaida matatizo yetu wabongo ni yale yale always kudanganyika majina ya viongozi badala ya record zao kwa taifa! Salim alipelekwa JWTZ ili ajiweke sawa na urais when the time comes, lakini nako pia hakufanya lolote la maana, maana huko ndiko kabisaa wanajeshi walibaki wanashangaa kuwa huyu mkulu ametoka wapi tena?

Aaah jamani basi ngoja niache tu!
 
Wakulu,

..hivi kuna Mtanzania yeyote yule anaweza kutuonyesha mchango wa Salim Salim ktk jambo lolote la maendeleo Tanzania?

..MWAKA MMOJA ALIOTUMIKIA SALIM BAADA YA SOKOINE KUFARIKI ..ULILETA TUMAINI JIPYA ...KUMBUKA SOKOINE WAS A RADICAL SOCIALIST..ALIPOINGIA SALIM ALI PRACTICE LIBERAL POLICIES AMBAZO ZILILAINISHA WAKATI MGUMU ALIOKUWA NAO MWALIMU BAADA YA IMF KUM MUGABELIZE...

SERA ZA KWANZA ZA SOKO ZILIANZA WAKATI AKIWA WAZIRI MKUU..HII ILIMFANYA MWALIMU ATAMANI AMWACHIE SALIM URAIS....KATIKA KIPINDI KIFUPI CHA UWAZIRI MKUU WAKE ALITEMBELEA NCHI NZIMA...AKIPELEKA MISAADA HADI YA MAKONTEINA YA NGUO..ALIYOAGIZA KWA MARAFIKI ZAKE NA KUWAGAWIA BURE VIJIJINI....BAADA YA KUSIKITISHWA NA NAMNA WATANZANIA VIJIJINI WAKATI HUO WALIKUWA WANAKOSA HADI KIPANDE CHA KANIKI....

SALIM HANA BASE ZANZIBAR NA NDIO WALIOMUANGUSHA ..NDIO MAANA STRATEGICALLY ALIAMUA KUJIHUSISHA NA TABORA ..AMBAKO KUNA WAJOMBA ZAKE [MAMA YAKE KAZALIWA PALE]...NA NI MLEZI WA CCM MKOA WA TABORA...NDIO ILIKUWA BASE YAKE....

KIMSINGI SALM ANAKUBALIKA ZAIDI BARA KULIKO UNGUJA....

WAKATI WA UTAWALA WA AWAMU YA PILI BREAFLY SALIM ALIKUWA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA ULINZI.....ALIPENDWA SANA NA ASKARI...WENGI LABDA HAMJUI MKASA WA MWAKA 1986...PALE ASKARI JUNIORS WA KAMBI YA TABORA WALIPOKIMBILIA PORONI.....HAWAKUA TAYARI KUMSIKILIZA YEYOTE ....NA SALIM NDIYE ALIYEENDA PORINI KUONGEA NAO WAKARUDI KAMBINI...THAT WAS DOWN LOW!!!..HE NEVER ASK CREDITS FOR THAT!!...

ASKARI WALIKUWA NA TATIZO KUU LA USAFIRI ENZI HIZO ALILITATUA..NA ILIFIKIA MAHALI ALIPEWA ZAWADI YA MAGARI BINAFSI KAMA ZAWADI [YANAZIDI 100]..KAMA MNAKUMBUKA ZILE NISSAN PATROL PICKUP LEFT HAND ZA MIAKA YA 1987[JESHINI WALIZIITA AHSANTE SALIM]...ZOTE ALIWAPA WANAJESHI ..HAKUCHUKUA HATA MOJA KUWAPA JAMAA ZAKE....

KIMSINGI SALIM HATAKUBALI TENA KUGOMBEA URAIS..KWA SABABU HATA HII 20005 ALIGOMBEA KWA KUOMBWA....NA ZAIDI AKAKATISHWA TAMAA NA KAMPENI CHAFU ZA JK.....

HISTORIA ITAMPA NAFASI STAHILI...AANDIKE VITABU NA KUTOA MIHADHARA VYUO VIKUU ZAIDI SASA!!
 
salim bado ni outstanding katika nchi yenye umaskini wa mali, elimu na exposure kama TZ. Suala la kuwania urais ni lingine! Hata Slaa nadhani amekuwa mzalendo kujitoa mhanga kuweka hadharani habari za ufisadi, sidhani kama alifanya hivyo ili atengeneze njia ya kuupata urais! kama alifanya kwa sababu hiyo basi hafai kuwa rais! si kila mzalendo atakuwa rais! rais lazima awe mzalendo lakini pia wananchi nao wanatakiwa kuwa wazalendo ili nchi iendelee mbele!
 
Mkuu Kibunango,

Kwanza heshima mbele, niarudia kuwa Salim kwangu hafai kuwa rais wetu kwa sababu hana sifa zinazotakiwa, je unanielewa lakini sina tatizo kuwapa wanaotaka kunilkazimisha!
 
1.
SALIM HANA BASE ZANZIBAR NA NDIO WALIOMUANGUSHA ..NDIO MAANA STRATEGICALLY ALIAMUA KUJIHUSISHA NA TABORA ..AMBAKO KUNA WAJOMBA ZAKE [MAMA YAKE KAZALIWA PALE]...NA NI MLEZI WA CCM MKOA WA TABORA...NDIO ILIKUWA BASE YAKE....KIMSINGI SALM ANAKUBALIKA ZAIDI BARA KULIKO UNGUJA....

Mkuu Philemon,

Heshima yako mkuu, hivi mkuu kweli huoni kuwa hayo tu hapo juu yanatosha kumaliza mjadala huu juu ya uwezo asiokuwa nao Salim, kuweza kuwa rais wa Tanzania, kwa sababu kutokuwa kwake na base ya siasa visiwani ambako kunamhusu zaidi kuliko bara ni makosa ya nani kama sio yake mwenyewe?

2.
WAKATI WA UTAWALA WA AWAMU YA PILI BREAFLY SALIM ALIKUWA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA ULINZI.....ALIPENDWA SANA NA ASKARI...WENGI LABDA HAMJUI MKASA WA MWAKA 1986...PALE ASKARI JUNIORS WA KAMBI YA TABORA WALIPOKIMBILIA PORONI.....HAWAKUA TAYARI KUMSIKILIZA YEYOTE ....NA SALIM NDIYE ALIYEENDA PORINI KUONGEA NAO WAKARUDI KAMBINI...THAT WAS DOWN LOW!!!..HE NEVER ASK CREDITS FOR THAT!!...

ASKARI WALIKUWA NA TATIZO KUU LA USAFIRI ENZI HIZO ALILITATUA..NA ILIFIKIA MAHALI ALIPEWA ZAWADI YA MAGARI BINAFSI KAMA ZAWADI [YANAZIDI 100]..KAMA MNAKUMBUKA ZILE NISSAN PATROL PICKUP LEFT HAND ZA MIAKA YA 1987[JESHINI WALIZIITA AHSANTE SALIM]...ZOTE ALIWAPA WANAJESHI ..HAKUCHUKUA HATA MOJA KUWAPA JAMAA ZAKE....

Now this is another Salim problem, I assume ni kweli aliyafanya haya, lakini inakuwaje sasa hakuna record kabisa, wakati record zaske za nje zote zipo wazi?

3.
KIMSINGI SALIM HATAKUBALI TENA KUGOMBEA URAIS..KWA SABABU HATA HII 20005 ALIGOMBEA KWA KUOMBWA....NA ZAIDI AKAKATISHWA TAMAA NA KAMPENI CHAFU ZA JK.....HISTORIA ITAMPA NAFASI STAHILI...AANDIKE VITABU NA KUTOA MIHADHARA VYUO VIKUU ZAIDI SASA!!

Salim anaziweza siasa za huko UN na OAU, lakini za Tanzania haziwezi, lakini Dr. Slaaa anaziweza siasa zetu na record iko very clear, labda tu tumtakie Salim tu aendelee vyema na siasa za huko nje.
 
Back
Top Bottom