1.
Very strong point, lakini ndio political realities za bongo, ambazo tunajua ziliko anzia, lakini great education.
FMES, it doesn't have to be that way!!! Zitto amezungumzia hapo awali kwamba tatizo ni mfumo uliopo. Siasa za Tanzania si kwamba ni chafu na unahitaji kuwa mjanja, ni kwamba it is tasteless, exploits the poverty and ignorance of people, ni ya kubabe na cha character assasination.
Ukiniambia mbona nchi zingine ziko hivyo sikubali kwa upande wa nchi ambazo tunaona wamekomaa kisiasa kwani there's a strong media, si wale wanaonunuliwa na akina RA kwa sh laki 5 -laki 5!
Salim was ready to play the political game, but a proper one si ya kishenzi kama ya Bongo. Eti kuwalipa takrima mashabiki waje kumbeba anapozunguka mikoani, na kuwalipa laki 5 waandishi. Alikataa akijua that it is WRONG, sasa according to your argument hii ndio kosa lake!?
Alafu tunalia na Kikwete na ufisadi! Si ndiyo inapoanza. Kama mtu ata-purchase urais unafikiri tutapata rais gani? He has already paid to be elected, so wananchi: SHUT UP and watch him loot himself sick with his buddies, si walitumia hela nyingi kumfikisha alipo? Do you see how sick the system is? Do you agree that this is not a healthy environment for a decent person to run for presidency?
Tatizo wabongo we don't call a spade a spade, tunaleta unafiki tu, eti Kikwete alishinda! NO he paid for the kura and CCM members were ready to sell democracy and the future of our country down the river for a few millions, secrets to remain secrets, etc We are now paying the price alafu tunamlaumu Kikwete! No, si mlimsifia na kum-reward yeye and his cronies that they know how to 'play'the game. Unafikiri with this argument what kind of leaders can we expect?
I accept and respect your opinion kwamba unaona SAS hafai kuwa rais, even though I think otherwise, lakini naona kama unataka kumpunguzia sifa unfairly just to make a point. Mi nadhani kila mtu amekubali mchango wake SAS, swali labda does he have the temperament and is ready to sink
as low to become president? He answered No! Alafu mnasema ni arrogant? I think he was smart enough to assess what happened and realized that politics in Tanzania is immature, brutish and childish.
Mi nasema unless we change the system and say ENOUGH to such base politics tusitegemee kupata viongozi bora. Hata Slaa, Zitto na other opposition figures wataendelea kuota ndoto tu ya kutawala! Alafu mnauliza kwa nini hawashindi? The system has been bastardized and rigged from the beginning that if you are honest you are the 'sissy' and if you are a thug you are rewarded!
Nilishasema it is our loss not SAS's loss.
This was a very good discussion!