Mbona amekaa kimatambo matambo na majidai?
Hahahaaa si ana hela nyingi za makondoo anayochunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona amekaa kimatambo matambo na majidai?
Hahahaaa si ana hela nyingi za makondoo anayochunga
thanks,
Na kwenye gazeti la Msemakweli na Nyakati??
Mbona amekaa kimatambo matambo na majidai?
Mbona amekaa kimatambo matambo na majidai?
Fernandes ni yule kama mzungu?wa agapae TV?
Kama Gwajima sio mtumishi Mungu.basi hakuna mtumishi wa Mungu Tz
Duu, jitazame upya ! Soma vizuri Biblia yako. Utapotea!
Huyu ni Kibaraka wa CCM...mchumia tumbo kwa kifupi..
ndo huyo huyo.Fernandes ni yule kama mzungu?wa agapae TV?
ndo huyo huyo.
Fernandes ni yule kama mzungu?wa agapae TV?
Wewe nawe! Yani jina la Fernandes ndio linakufanya baniani umuone mzungu?