Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Sasa unakuaje single maza na unapata matunzo?Single maza ni mwanamke anayemlea mtoto peke yake
Baba anaweza kutoa matunzo, kutuma pesa lakini hayupo karibu na mtoto inaweza kupita hata mwaka hajamuona mtoto wake.
Mama mwingine amezaa na mwanaume lakini wameshaachana
Mtoto anapewa matumizi kadri ya uwezo, anamuona baba yake muda wowote
Huyu mwanamke sio Single maza.
Mtoto haitaji pesa tu, anahitaji pia muda wa kukaa karibu na wazazi wake wote wawili kama bado wapo hai bila kujali wameachana au lahSasa unakuaje single maza na unapata matunzo?
Karibu Fabian
Nasimama na hiini mwanamke ambaye amezaa mtoto/watoto na kuwalea pekeake kwa sababu mbalimbali kama vile;
kutengana na mwenza wake,either kwa talaka au kifo au namna yoyote ile.
also unaweza kusema ni "SINGLE PARENT FAMILY"
Kheeeh mpemba hii mbona ghadhabu?Singo maza ni mwanamke aliyezaa kwasabab ya umalaya... Singo maza ni mwanamke aliyeachika kwasabab ya umalaya na kukosa akili... Singo maza ni njia ya kufanya umalaya kwa kisingizio mwanaume kakimbia mimba/mtoto... Singo maza ni aina ya udangaji mjini
Asante muhandisiKaribu Fabian
"Who is a single mother?!, Sio "who is thingo maza!"Heshima kwenu wana jamii....
Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother?
1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza?
2. Ni mwanamke aliyezaa na hajaolewa hata kama anapata matunzo ya mwenza?
3. Ni mwanamke aliyezaa hapati matunzo na hamjui baba wa mtoto?
4. Ni mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine na hana mahusiano na baba ila ana mahusiano na mwanaume mwingine?
5. Ni mwanamke aliyeamua kuzaa tu na akaamua kuwa na mtoto wake na hamtaki baba?
N.k
Je single maza ni nani? Je jamii inachukuliaje? Na singo maza anachukuliaje mpaka ajiite single maza?
Nawasilisha.
wote haoHeshima kwenu wana jamii....

Duh! Mkuu umetisha sana. Umalaya sio sababu pekee na kuu kwa mwanamke kuzaa (vipi kama amebakwa?), kuachika (vp kama mme ni kiwembe na ameoa mwingine na kumfukuza yeye ?) au ni aina ya udangaji mjini (vp asitoke hata kuwasalimia rafiki? (vp natimizaje hitajio muhimu lile au unashauri akanunue dil....o?).Singo maza ni mwanamke aliyezaa kwasabab ya umalaya... Singo maza ni mwanamke aliyeachika kwasabab ya umalaya na kukosa akili... Singo maza ni njia ya kufanya umalaya kwa kisingizio mwanaume kakimbia mimba/mtoto... Singo maza ni aina ya udangaji mjini
UKizaa haijalishi sababu we ni single motherwote hao
It make a lot of reasonsNamba 5 ni sahihi zaidi. Zingine zooote wanawake huzaa wakiamini watapata chochote na mwisho huangukia pua
kama hauishi na baba wa mtotoUKizaa haijalishi sababu we ni single mother