Who is Single Mother?

Who is Single Mother?

Ni mwanamke yoyote aliezaa Mtoto au watoto.

Na haishi pamoja na mwanaume aliezaa nae kama mke na Mume Kwa Sababu yoyote ile.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mtoto haitaji pesa tu, anahitaji pia muda wa kukaa karibu na wazazi wake wote wawili kama bado wapo hai bila kujali wameachana au lah
Inamaana wanandoa ambao mume anasafiri sana ila anatoa huduma zote za kifedha mke ni single mother?
 
Heshima kwenu wana jamii....

Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother?

1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza?
2. Ni mwanamke aliyezaa na hajaolewa hata kama anapata matunzo ya mwenza?
3. Ni mwanamke aliyezaa hapati matunzo na hamjui baba wa mtoto?
4. Ni mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine na hana mahusiano na baba ila ana mahusiano na mwanaume mwingine?
5. Ni mwanamke aliyeamua kuzaa tu na akaamua kuwa na mtoto wake na hamtaki baba?
N.k

Je single maza ni nani? Je jamii inachukuliaje? Na singo maza anachukuliaje mpaka ajiite single maza?

Nawasilisha.
Kiinglish katika title kuna article imesahaulika
 
'Single mother' ni neno mahususi kumzungumzia mwanamke yoyote aliyezaa au kulea mtoto wake nje ya ndoa.

Kama aliolewa na kupata mtoto na baadaye mumewe akafariki huyo ni mjane, sio 'single mother'
 
Mtoto haitaji pesa tu, anahitaji pia muda wa kukaa karibu na wazazi wake wote wawili kama bado wapo hai bila kujali wameachana au lah
upo sahihi, mtoto anapenda aone mama na baba wapo pamoja. Awaone wanatoka asubuhi chumba kimoja na kulala kitanda kimoja
 
Back
Top Bottom