Who is Single Mother?

Ni mwanamke yoyote aliezaa Mtoto au watoto.

Na haishi pamoja na mwanaume aliezaa nae kama mke na Mume Kwa Sababu yoyote ile.
 
Reactions: Tsh
Mtoto haitaji pesa tu, anahitaji pia muda wa kukaa karibu na wazazi wake wote wawili kama bado wapo hai bila kujali wameachana au lah
Inamaana wanandoa ambao mume anasafiri sana ila anatoa huduma zote za kifedha mke ni single mother?
 
Kiinglish katika title kuna article imesahaulika
 
'Single mother' ni neno mahususi kumzungumzia mwanamke yoyote aliyezaa au kulea mtoto wake nje ya ndoa.

Kama aliolewa na kupata mtoto na baadaye mumewe akafariki huyo ni mjane, sio 'single mother'
 
Mtoto haitaji pesa tu, anahitaji pia muda wa kukaa karibu na wazazi wake wote wawili kama bado wapo hai bila kujali wameachana au lah
upo sahihi, mtoto anapenda aone mama na baba wapo pamoja. Awaone wanatoka asubuhi chumba kimoja na kulala kitanda kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…