SodoKa ni laprofeserii kila kitu anachangia jukwaa la elimu na vyuo vyote anavifaham nje ndani, sema inaoneka ni hawa walimu wa arts waliokosa ajira toka mwaka 2014
exactly[emoji817][emoji23][emoji74][emoji74][emoji74][emoji74][emoji74]yani yeye ni mtu wa nyundo [emoji375][emoji375]tu mwenyewe kila kitu kuhusiana na elimu anakijua[emoji84] hatari ukutane nae utapata presha bure