Who is sodoka in JF?

Who is sodoka in JF?

SodoKa ni laprofeserii kila kitu anachangia jukwaa la elimu na vyuo vyote anavifaham nje ndani, sema inaoneka ni hawa walimu wa arts waliokosa ajira toka mwaka 2014
exactly[emoji817][emoji23][emoji74][emoji74][emoji74][emoji74][emoji74]yani yeye ni mtu wa nyundo [emoji375][emoji375]tu mwenyewe kila kitu kuhusiana na elimu anakijua[emoji84] hatari ukutane nae utapata presha bure
 
Multiple ID, yaani mleta mada ndio huyo huyo sodoka, anatafuta kick...
 
Back
Top Bottom