Who is the best Asley Vs Rayvanny ?, song by song

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Wote ni wakali ila ni Nani mkali zaidi hapa hapa kati ya Rayvanny na dogo Asley, hapa chini mlinganisho wa hits zao
Rayvanny
1. Kwetu
2. Natafuta kiki
3.Zezeta
4.Mbeleko
5.Chuma ulete
Asley
1. Naenda kusema kwa mama
2.Angekuona
3. Mhudumu
4.Beby basi
5.L I K I Z O

Hahahahahahaha japo kwa sasa hawa wasanii wanafanya vizuri kuliko Ali kiba na Diamond kwahiyo sikuona sababu ya kuwashindanisha na hao wazee wazamani ambao kwa sasa mziki wao unaendeshwa kwa kiki na promo kubwa, uwe daimond au ali kiba kwa sasa hawawafikii hawa serengeti
 
Nadhani hapo inabidi tuchambue kwa hoja, music sio tu kuimba au kucheza.
Aslay anajua kuimba sawa ila Rayvany anaimba, anacheza, ana swagga.

Nadhani kama Aslay asingekuwa na lile kundi la mwizi fela basi angekuwa mbali sana kama solo artist.

NB: Sijapiga kura yangu bado
 
m ni team kiba nataman ningekuwa na mkwanja kina cha manji ningemnyapia nyapia rayvan nimtoe wasafi..nataka kusemaje basi rayvan na aslay rayvan n NOMA.yan ndan ya kund lile la wasafi n kama ronaldo ndan ya madrid
 
aslay angekuwa na lebo kubwa na inayojua promo kama WCB ingekuwa balaa.. ray vanny jina la lebo linambeba
 
Asley nyimbo zake zina maadhi ya kipekee, melody kali sana. Ray anajitahidi ila amezidiwa uwezo
 
m ni team kiba nataman ningekuwa na mkwanja kina cha manji ningemnyapia nyapia rayvan nimtoe wasafi..nataka kusemaje basi rayvan na aslay rayvan n NOMA.yan ndan ya kund lile la wasafi n kama ronaldo ndan ya madrid
Itakuwa ww ni dada yake rayvan
 
All of them are talented as a musician but differ in character like asley are more in writing same to wcb member rayvan and so many

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…