Wote ni wakali ila ni Nani mkali zaidi hapa hapa kati ya Rayvanny na dogo Asley, hapa chini mlinganisho wa hits zao
Rayvanny
1. Kwetu
2. Natafuta kiki
3.Zezeta
4.Mbeleko
5.Chuma ulete
Asley
1. Naenda kusema kwa mama
2.Angekuona
3. Mhudumu
4.Beby basi
5.L I K I Z O
Hahahahahahaha japo kwa sasa hawa wasanii wanafanya vizuri kuliko Ali kiba na Diamond kwahiyo sikuona sababu ya kuwashindanisha na hao wazee wazamani ambao kwa sasa mziki wao unaendeshwa kwa kiki na promo kubwa, uwe daimond au ali kiba kwa sasa hawawafikii hawa serengeti