Katika kuandika haraka haraka na smartphone hizi zinapredict tu na sikuangalia but mkuu "pigdn" ndio lugha gani?Vutu ni pigdn au Creole?
Mkuu umewaelezea vizuri sanaaaaa hadi rahaHii kazi kubwa sana kuamua..! Wote ni wakali, na wote wanavipaji vya hali ya juu.
Ukiangalia kwa malezi anayopata Rayvanny, basi tunasema Aslay yupo juu maana yeye ni kama kuku wa kienyeji. Ukiona mpaka vanny anapeleka nyimbo radioni basi ujue wasafi wote wameisikiliza and so marekebisho ya hali ya juu kutoka kwa mafundi kama platinumz pamoja na Mavoko.
Ila kwa upande wa Aslay sidhani kama kuna watu nyuma yake wanaomrekebisha kama akikosea (jeshi la mtu mmoja). Sasa basi hapo unakuta Aslay amepata alama moja mbele ya vanny.
Ukija kwa sauti, Vanny yupo vizur zaidi ya Aslay, ingawa kuna muda (vanny) huongeza manjonjo ya kompyuta.
Kwenye swala la utunzi, nadhani hakuna mtu atakaye pingana na mimi kuwa Aslay anajua zaidi. Tena dogo anatungo za kiutuuzima (zile za akina msondo ngoma na kilimanjaro band).
Ukija kwenye swaga vanny anajua zaidi kuliko Aslay..! Sasa inakuwa shida sana (kwangu) kuwa shindanisha hawa watoto kwa kuwa kila mmoja yupo vzur katika sehem yake...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kura yangu kwa Aslya, nina swali mbona Diamond hajawahi hata kupost wimbo wa huyu dogo ana bifu nae au anamuhofia, sijamtaja Kiba maana Aslay yupo karibu na mond kupitia Fella
Braza wanafunzi wanafeli sanaaaaaaaaaaaaaaa si kwasababu hawajui ila kwenda nje ya swali linavyotakaNaona Hamjui Kuhusu Rayvanny Na Aslay Hawa Ni Marafiki Tena Sana Na Diamond Asingemjua Rayvanny Bila Ya Aslay Kama Unafuatilia Mziki,kipindi Ambapo Diamond Anatafta Wasanii Kwenye Lebo Yake Ya Wcb Aslay Alimtonya Mondi Kuwa Kuna Kijana Ni Fundi Wa Kutunga Nyimbo Yupo Tiptop Conection Hata Baadhi Ya Nyimbo Za Yamoto Band Ameshiriki Kutunga Itakuwa Vyema Kama Utaonana Naye Kujionea.Basi Mondi Akaonana Naye Dogo Na Kweli Uwezo Wa Dogo Ukaonekana Mkali Sana Ikabidi Amchukue Na Mpaka Sasa Dogo Rayvany Ana Tuzo Ya Kimataifa Ya BET ambapo hapa east africa yeye ni wapili kuwa nayo baada ya Eddy Kenzo Kutoka Uganda
MWISHO: RAYVANNY ANA TUZO YA KIMATAIFA YA BET YA MAREKANI AMBAYO HATA DIAMOND AMEIPIGANIA MARA 2 LAKINI AMESHINDWA KUIPATA
Kichwa Chako Kama Andazi Hebu Soma Tena UnieleweAslay
Braza usipaniki tunaeleweshana, Swala halikuhitaji kuhusu sijui bet sijui diamond kamtafuta nani, Swala lilikua ni nani mkali kati ya hao wawili... Sasaaaa braza kwa maelezo yako kuna mahala umejibu swali la mleta uzi?!Kichwa Chako Kama Andazi Hebu Soma Tena Unielewe