Unafahamu maana ya overrated? SUGU was kuwa overrated kweli? Kabra ya prof miaka ya tisini wenzako tulikuwa tunamjua SUGU tu, mpaka prof anaanza kutamba miaka ya 2000 SUGU alikuwa kawika vya kutosha, so neno overrated siyo sahihi maana jamaa alijituma sana, prof hiyo miaka ya tisini alikuwepo na alikuwa akifahamika kama nigaJ lakini hakufanikiwa kuwika, enzi zetu 2 proud ndo alikuwa anabamba haswa.zama xenu nyie vijana ni prof j ila zama zetu wakati hip hop inatamba alikuwa ni SUGU ametushikaMleta mada umeandika vizuri sana.
Let's face the truth, sugu is overrated. He is an average rapper, he raps just for "human beings". Being one of the early rappers doesn't make him best rapper.