Who is the best rapper, and who is the most recognized legend kati ya Profesa Jay na Mr II/SUGU!?

Who is the best rapper, and who is the most recognized legend kati ya Profesa Jay na Mr II/SUGU!?

Kuna heshima ambayo SUGU anayo, prof kila ukimuangalia anapita na kufuata nyayo za SUGU, SUGU ni mwanamiziki na mwanaharakati wa muziki, SUGU ndo alianzisha harakati za kutetea masrahi ya wasanii kupitia harakati zake angalau wasanii kwa mbali wanapata japo kidogo, Prof j nyimbo zake nyingi zilizompa umaarufu ni zile za mtindo was story, nyimbo nyingi za SUGU ni za kiuanaharakati zaidi kuliko za prof,Prof ni bora ila SUGU ni baba
 
Mleta mada umeandika vizuri sana.
Let's face the truth, sugu is overrated. He is an average rapper, he raps just for "human beings". Being one of the early rappers doesn't make him best rapper.
 
Mleta mada umeandika vizuri sana.
Let's face the truth, sugu is overrated. He is an average rapper, he raps just for "human beings". Being one of the early rappers doesn't make him best rapper.
Unafahamu maana ya overrated? SUGU was kuwa overrated kweli? Kabra ya prof miaka ya tisini wenzako tulikuwa tunamjua SUGU tu, mpaka prof anaanza kutamba miaka ya 2000 SUGU alikuwa kawika vya kutosha, so neno overrated siyo sahihi maana jamaa alijituma sana, prof hiyo miaka ya tisini alikuwepo na alikuwa akifahamika kama nigaJ lakini hakufanikiwa kuwika, enzi zetu 2 proud ndo alikuwa anabamba haswa.zama xenu nyie vijana ni prof j ila zama zetu wakati hip hop inatamba alikuwa ni SUGU ametushika
 
profesa jay ndiye anaaminika kuwa msanii pekee aliyebadilisha maono ya watu wakubwa kwa watoto kuwa mziki wa bongo fleva siyo muziki wa uhuni pale tu alipofanya mapinduzi kwa kuandika wimbo uliobadilisha upepo wa muziki wa bongo fleva kuwa ni muziki unaweza kuelimisha jamii pale tu alipotunga wimbo unaoitwa "CHEMSHA BONGO" huu wimbo uliwafumbua macho watu wengi sana wakiwamo wazazi kuanza kuufuatilia muziki huu.... lakini pia profesa jay aliendelea mbali zaidi kuanza kuimba na kukemea wanasiasa kupiti wimbo wake wa "NDIYO MZEE" na "KIKAO CHA DHARURA" pia "BONGO DARESLAM" wasanii wengine akina ROMA ni wanafanya marudio tu wa alichokifanya the heavy weight mc the ever lasting one..... sugu apewe heshima ya moja wa waanzilishi wa bongo fleva lakini PROFESA JAY ACHUKULIWE KUWA NI NEMBO YA MZIKI WA BONGO FLEVA HATA JINA LA LENYEWE LA BONGO FLEVA LINATOKA NA WIMBO WA PROFESA JAY ""BONGO DARESLAAM" JAY NDIYE KILA KITU INAPOKUJA NANI APEWE HESHIMA KWENYE HUU MUZIKI
 
Back
Top Bottom