comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Leo Tunakuja na hili SWALI gumu kidogo tulijadili kwa facts Only
Ni Ronaldo yupi bora zaidi.??!
Ni Ronaldo yupi bora zaidi.??!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ausioRonadinho zaidi,ball control,anachezesha timu,,anakaba,anafunga,pasi za mwisho,
Ronaldinho.Leo Tunakuja na hili SWALI gumu kidogo tulijadili kwa facts Only
Ni Ronaldo yupi bora zaidi.??!View attachment 1163464
duh! umewaza kama mimi kabisaRonaldinho.
Ball control,best dribbler with greatest dribbling skills,master pass and amongst playmaker.
Baada yake tumweke Delima.
Christiano Ronaldo wa mwisho kabbisa ktk hii list.
Maana hana uwexo km hao magwiji wawili
[emoji119]Ronaldinho.
Ball control,best dribbler with greatest dribbling skills,master pass and amongst playmaker.
Baada yake tumweke Delima.
Christiano Ronaldo wa mwisho kabbisa ktk hii list.
Maana hana uwexo km hao magwiji wawili
Mkuu utakua hauko serious kumfananisha Gaucho na Ronaldo.Wote ni bora!! Vigumu kusema nani bora labda utaje kwa mapenzi, ila kwangu wote ni wachezaji bora.
umewaza kama mimiWanaanza Gaucho,next Delima,third C7
gaucho na cr7 sio sawaWote ni bora!! Vigumu kusema nani bora labda utaje kwa mapenzi, ila kwangu wote ni wachezaji bora.
Gaucho a very talented player kuwahi kucheza mpira dunianMkuu utakua hauko serious kumfananisha Gaucho na Ronaldo.
Hakuna kitu Ronaldo Christiano anamfikia Gaucho milele.
Gaucho kipaji toka mbinguni mkuu tuongee ukweli tuache unafiki.
Mkuu kwa Taifa la Brazili baada ya Pele anayefuata ni Ronardo Delima. Hiyo namba hadi leo hii Timu ya Taifa ya Brazil yenyewe haijapata mtu wa kuweza kuziba kikamilifuGaucho a very talented player kuwahi kucheza mpira dunian
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono ! [emoji28]
Unamjua gaucho ?Mkuu kwa Taifa la Brazili baada ya Pele anayefuata ni Ronardo Delima. Hiyo namba hadi leo hii Timu ya Taifa ya Brazil yenyewe haijapata mtu wa kuweza kuziba kikamilifu
Wote ni bora!! Vigumu kusema nani bora labda utaje kwa mapenzi, ila kwangu wote ni wachezaji bora.
hadi gaucho?Kuna Ronaldo mmoja tu.. Ronaldo De Lima ndie alikuwa Ronaldo wa special... Ronaldo wengine wote waliobaki ni Ronaldo mtumba.