Mtu wa maana kabisa weweπ₯Harmful Mr Q Vincenzo Jr Guacamole Ndege Tai Lavit
rip faza_nelly Living Pablo na crew ya majobless pro max Intelligent businessman Edo kissy Thecoder Selikavu Razorblade
Jaman shukran ππ
Sio kwelπ mi huwa namuona ni mpole
I secondedNitaanza na hawa dosho12 Vincenzo Jr
Hawa jamaa wapo active ila sijawah kuona wanafanya ukorofi humu.
Wataje wengineπ«΅
Kushika shavu πΉπΉπΉNina fokasi na nini vile?
Haya mambo ya kutaja shavu kila saa unaleta njaa sasaKushika shavu πΉπΉπΉ
Ila badilisha timu ya kushabikia πJaman shukran ππ
Kushika shavu si ndo mwanzo wa kuzama kkoo shimoni min me πΉπΉπΉHaya mambo ya kutaja shavu kila saa unaleta njaa sasa
aiseWewe mtu wa fujo kundi moja na Mcmillan de Maghayo The Mongolian Savage tofauti yenu ni moja wewe dishi Zima wakati yeye ni loose Nut
Tulia hivyo hivyo usimwage mchele kwa kuku wengi , kwa sababu friji lako kugandisha ndio mtihani π€Kushika shavu si ndo mwanzo wa kuzama kkoo shimoni min me πΉπΉπΉ
Acha hizoIla badilisha timu ya kushabikia π
Man UTD for everybody π₯π₯Ila badilisha timu ya kushabikia π
Kama haupo uzi ni batili bwasheeInasikitisha sana
Walete hao Arsenal tuueπ₯Man UTD for everybody π₯π₯
Mti wenye matunda lazima upigwe mawe πKama haupo uzi ni batili bwashee
πππ kipigo cha mbwa mpaka tuwavunje na shingo kabisaWalete hao Arsenal tuueπ₯
Hata malimao nayo ni matunda bwasheeMti wenye matunda lazima upigwe mawe π