Who is underrated yet one of the smartest guys in JF?

Who is underrated yet one of the smartest guys in JF?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Sijui kwa upande wako

ila upande wangu,

Yeye hajui ila mimi mfuatiliaji wake humu JF, nyuzi zake hazina shangwe sana, hauwezi kuta zina comments ila huwa ni kuntu, comments zake huwa zipo nje ya box, kiufupi kwangu namuona ni jamaa alie smart sana humu na hajali kuhusu umaarufu wala nini

mcTobby pokea maua yako💐
 
Dah asante sana ndugu muandishi kwa nafas hadhimu kwanza kabisa bila kujisahau mimi mwenyewe MR PIPA hapa mana ukisubili kusifiwa unaweza sikia sifa upo ndani ya jeneza wameshakufukia... Mmh kwanza sina madini sana mwandiko hauna mvuto wala vituo ila nipo smart sana kiasi kitu ambacho nimekosa na kuto kutajwa ni kwenye uwasilishaji wangu na uandish wangu ila kiujulma nipo vizur.... Jf oyee maxmelo na timu yako oyee members wenzangu wa jf oye.....ayaaa asanteni sana ni mimi MR PIPA
 
Back
Top Bottom