😁😁😁
Ila we jamaa
😁😁😁
Bwashee tatizo mnakaza fuvu ndio maana mnateseka😅😁😁😁
Ila we jamaa
😁😁😁
Sio niridhike, kubalini tuu mna mengi mno ya kujifunza kutoka kwangu 😎
Hivi wewe si ilibidi upewe tuzo na melo au nimekufananisha 🧐Sio niridhike, kubalini tuu mna mengi mno ya kujifunza kutoka kwangu 😎
Ndio yeye nasikia chuo cha oxford wanatumia content zake kuhusu 1 nyeto kufanyia uchunguzi na kufundisha wanafunziHivi wewe si ilibidi upewe tuzo na melo au nimekufananisha 🧐
Bwashee unajua hakuna raha kama ya kununuliwa pombe na wanawake, nipo bar hapa wanawake wote wanasema nisitoe pesa ninywe kwa hela zao😅😅
Usisahau kuja kutuhadithia wakifanikiwa kukuibia hela ya mtaji 🥺Niseme tu watu wa humu cycle yao wanakutana na wanawake maskini , hivi mlishawahi kwenda viwanja vya wanawake stories zao wanaongelea bil moja + , au humu ni pangu pa kavu tia mchuzi tu?
Kumbe ndiyo maana kashikilia bango sana 🤣Ndio yeye nasikia chuo cha oxford wanatumia content zake kuhusu 1 nyeto kufanyia uchunguzi na kufundisha wanafunzi
Bwashee , sijui nisemeje ili uniamini,🤗 mwanamke akiniibia mimi, jua ana akili kubwa mno😅 hivyo sio fala huyoUsisahau kuja kutuhadithia wakifanikiwa kukuibia hela ya mtaji 🥺
kidumu chama Cha ma jobless pro maxIntelligent businessman raisi wa majobless na timu yake😂🙌