joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakati serikali ya Tanzania inapambana na wazungu kwa kuwanyang'anya ardhi ili itumiwe na wananchi wote hasa wale wenye hali ya chini kuzalisha chakula kwa ajili ya familia zao, jambo lililosababisha mgogoro hadi kufika kuzuiliwa kwa ndege ya ATCL huko Afrika ya kusini (Ujamaa).
Kenya mambo ni kinyume chake, ambapo serikali ya Kenya kwa kushirikiana na wazungu, inawapora wananchi masikini ardhi yenye rutuba na kuwakabidhi wazungu matajiri wanayoitumia kulima mananasi kwa ajili ya viwanda vyao, jambo linalosababisha wananchi wa kawaida kukosa ardhi yenye rutuba ili kuzalisha chakula, na kusababisha vifo vya njaa kila mwaka(Ubepari).https://youtu.be/St9Vic6tYYI
Nchi gani inapaswa kujifunza kutoka kwa mwenzake?