Who is Who, Nani wa kujifunza?

Who is Who, Nani wa kujifunza?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Wakati serikali ya Tanzania inapambana na wazungu kwa kuwanyang'anya ardhi ili itumiwe na wananchi wote hasa wale wenye hali ya chini kuzalisha chakula kwa ajili ya familia zao, jambo lililosababisha mgogoro hadi kufika kuzuiliwa kwa ndege ya ATCL huko Afrika ya kusini (Ujamaa).

Kenya mambo ni kinyume chake, ambapo serikali ya Kenya kwa kushirikiana na wazungu, inawapora wananchi masikini ardhi yenye rutuba na kuwakabidhi wazungu matajiri wanayoitumia kulima mananasi kwa ajili ya viwanda vyao, jambo linalosababisha wananchi wa kawaida kukosa ardhi yenye rutuba ili kuzalisha chakula, na kusababisha vifo vya njaa kila mwaka(Ubepari).https://youtu.be/St9Vic6tYYI

Nchi gani inapaswa kujifunza kutoka kwa mwenzake?
 
Ok, tumeelewa ujumbe wako jombaa, dawa ya deni ni kulipa.
Na dawa ya njaa ni kuwarudishia ardhi wananchi masikini ili walime mazao ya chakula, " otherwise" kutatokea mapinduzi, hao Mungiki wanajaribu kutoa ujumbe kwamba wananchi wamechoka.
 
Lipeni deni la mkulima acheni longolongo za kobe na kaka sungura. Imebakia mwaka mmoja tu deni liwe 'over 18'. Ogopeni mungu.
 
Deni tutalipa, vipi ninyi kuhusu roho za watu waliokufa kwa njaa kutokana na ardhi kuchukuliwa na wazungu wanaolima maua, mananasi na chai, mtazirudisha?, au ninyi ni " man eat man society", masikini hathaminiwi?
 
Acheni uhuni, lipeni basi la sivyo ndege lenu litauzwa. Shauri yenu.
 
Hahahaha, ndege na njaa, kipi zaidi?. Mkileta ujinga tutasimamisha kuwapa mahindi na tutawapelekea Msumbiji na Zimbabwe, ninyi endeleeni kuwapa ardhi wazungu walime mananasi lakini chakula mnakuja kupiga magoti, bure kabisa ninyi.
 
Deni limelipwa? Bado??? Dah, hii 'dona kantri' yenu siielewi hata kidogo.
 
Asee haya mambo yanasikitisha sana.
Wako busy na habari za Tanzania huko nyumbani kwao kumeoza Kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Cc: mahondaw
Mko busy na mambo ya Kenya huku kwenyu ndege zinanyakuliwa kwa sababu ya wizi na madeni ya Tz.
 
Mko busy na ndege wakati wazungu wanaendelea kunyakua ardhi na kuwa acha mamilioni ya wakenya wanakufa njaa.
 
Wakati serikali ya Tanzania inapambana na wazungu kwa kuwanyang'anya ardhi ili itumiwe na wananchi wote hasa wale wenye hali ya chini kuzalisha chakula kwa ajili ya familia zao, jambo lililosababisha mgogoro hadi kufika kuzuiliwa kwa ndege ya ATCL huko Afrika ya kusini (Ujamaa).

Kenya mambo ni kinyume chake, ambapo serikali ya Kenya kwa kushirikiana na wazungu, inawapora wananchi masikini ardhi yenye rutuba na kuwakabidhi wazungu matajiri wanayoitumia kulima mananasi kwa ajili ya viwanda vyao, jambo linalosababisha wananchi wa kawaida kukosa ardhi yenye rutuba ili kuzalisha chakula, na kusababisha vifo vya njaa kila mwaka(Ubepari).https://youtu.be/St9Vic6tYYI

Nchi gani inapaswa kujifunza kutoka kwa mwenzake?
Acha kujiliwaza hapa, Kwa kweli hili jambo la SA kuzuilia ndege yenu limewauma sana...Hamkuona hili likija, lakini pambaneni na hali yenu! Kama mnashindwa kulipa deni la mkulima, deni la taifa mtaliweza ama bado mnangoja kusamehewa....
 
Hahahaha, nchi gani inayolipa deni lake kwa kukopa mkopo wa PILI?, nchi gani iliyoomba kusanehewa Madeni yake lakini IMF ikakataa badala yake mkataka kuandamana kulazimisha kusamehewa Madeni?.
 
Hii yote ni kujiliwaza Tu, lipeni deni la mkulima!
 
Wakati serikali ya Tanzania inapambana na wazungu kwa kuwanyang'anya ardhi ili itumiwe na wananchi wote hasa wale wenye hali ya chini kuzalisha chakula kwa ajili ya familia zao, jambo lililosababisha mgogoro hadi kufika kuzuiliwa kwa ndege ya ATCL huko Afrika ya kusini (Ujamaa).

Kenya mambo ni kinyume chake, ambapo serikali ya Kenya kwa kushirikiana na wazungu, inawapora wananchi masikini ardhi yenye rutuba na kuwakabidhi wazungu matajiri wanayoitumia kulima mananasi kwa ajili ya viwanda vyao, jambo linalosababisha wananchi wa kawaida kukosa ardhi yenye rutuba ili kuzalisha chakula, na kusababisha vifo vya njaa kila mwaka(Ubepari).https://youtu.be/St9Vic6tYYI

Nchi gani inapaswa kujifunza kutoka kwa mwenzake?
Deni Ni ya $33million na Ndege ni ya $90million SI muuze Ndege mlipe deni 😂😂😂😂
 
Hahahaha, nchi gani inayolipa deni lake kwa kukopa mkopo wa PILI?, nchi gani iliyoomba kusanehewa Madeni yake lakini IMF ikakataa badala yake mkataka kuandamana kulazimisha kusamehewa Madeni?.
Hahahaha Leo uko kwenye receiving end my bro from deni laden country, mie kazi kukucheka Hadi mtakapolipa deni...😂😂😂😂 Penda Sana.
images (11).jpeg
 
Back
Top Bottom