Who is your best Actor?

Who is your best Actor?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubari zaidi

1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders .

2.Wentworth Miller aka MICHAEL SCORFIED kwenye prison break

Wa juuu anajulikana kwa unababe katika biashara na umafia wa pili kwa kutumia aklili vizuri je Nani unamkubari
Hatuwezi tukawashauri ata wacheze series ya pamoja wakicheza unaona itafana?
 
1. Tom Hanks
2. Mel Gibson

Hao ni overral ila ninao actors ninaokubali wakicheza kama nani. Hardy Kruger (R.I.P) akicheza kama Mjerumani. Au Thomas Kretschmann akicheza kama Mjerumani anawapatia sana.

Actor maarufu ambaye siwezi tazama movie yake ni Vin Diesel
 
KWA uchache tuu wa movie nilizotazama nimewabaini MICHAEL JAI WHITE,WESLEY SNIPES,MARK DACASCOS,ANORD SCHWAZENEGER
 
Back
Top Bottom