Wakiamka watakutana na ujumbe wao hapa.BelindaJacob japo sijui umri wake
lara 1 simulixi zake zinasisimua
@binyi mmoja anapenda kusoma vitabu na upstairs anaonekana yupo vizuri ana mada yake ya usomaji vitabu.
King'asti am miongoni nwa mabinti wakongweakishirikiana na wenzake kina @ wakichangamsha jukwaa la malavidavi hapa jamiiforums
Hao ni kwa uchache
Ngoja leo nimtaje...... ila basi.Habari wanaJamiiForum..!!
Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwalete mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.
We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na kua mazuri. Usikaushe kaushe maisha ni mafupi / tunaishi mara moja.
Mtaje tu..[emoji4]
NB: Please, Crushes remain Crushes! Dont start to PM anyone and start disturbing them [emoji38]
Melo sijui anajua kama humu kijijini kwake watu wana ma crushkupitia kumtaja kwako unaweza mshawishi akakurudia mkuu
yap tena ๐