Who is Your JamiiForums Crush?

Jaman [emoji17][emoji17][emoji17]

Au osmaney ulimaanisha nini uliposema ku crush, sio kuponda kweli? au mwalimu wangu alinifundisha makapi

Lakini yote kwa yote,
Thanks to you Edo kissy kwa kunikumbuka, huwa nakuona kwenye nyuzi zangu, jukwaa la MMU [emoji23] na majukwaa ya simulizi, na unazipenda kwakweli [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
I mean romantic feelings for someone that go unexpressed.
 
Asante roselyn2 cjui umejuaje Kama napenda simulizi?
😍😍😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…