Who is Your JamiiForums Crush?

Ile picha ya pikoko akili ilinikoroga sana, kumbuka huko nyuma nilikuponda kuwa ukammanya Sumbi[emoji16][emoji16][emoji16]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uliiona ile picha kumbe, ndiyo tunakoishi sahivi tumehama from kumwambaπŸ˜‚
 
@yna2
 
Kwanini kipenzi changu shetani??
"Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri na ufanyeni mti kuwa mbaya na matunda yake kuwa mabaya kwa maana kwa matunda yake mti utatambulikana " mathayo 12:33
Wewe ni mti wenye matunda kwa maana huna makuu mcheshi na mpole kinachonifurahisha mm ni mfuasi wa nyuzi zako nazipenda saana hapa jukwaani
 
πŸ™πŸ™πŸ™
Na mm nakukubali shetwainn
Me sinaga makuu mwaya
Makuu waje nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…