Who is Your JamiiForums Crush?

Who is Your JamiiForums Crush?

huyu ni pro kabisa kwene hii sanaa..

mkuu utanipa location mapema weekend sio mbali tukapige show
Sawa sawa mkuu uje umejipanga kweli kweli maana ni balaa huyu mrembo. ujue na budget ya vinywaji na nyama choma maana thressome bila vijipombe kidogo hainogi.
 
Habari wanaJamiiForums..!!

Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwaletee mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.

We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na kuwa mazuri. Usikaushe kaushe maisha ni mafupi / tunaishi mara moja.

Mtaje tu..😊

NB: Please, Crushes remain Crushes! Dont start to PM anyone and start disturbing them 😆
mzabzab
 
Nakadori hunibamba ile mbaya sema ndo hvo sinaga nyota
 
Back
Top Bottom