Who is Your JamiiForums Crush?

Who is Your JamiiForums Crush?

Technically, hapa umemtaja Melo. Au hizi movie za kijasusi hazijanisaidia kitu kutambua huu ujumbe ktk hii comment yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hutaki nipandishwe cheo niwe hata moderator jaman
Tena wew ndo utakua wa kwanza kula ban sababu ya kiherehere cha ujasusi😆
 
BelindaJacob japo sijui umri wake
lara 1 simulixi zake zinasisimua
@binyi mmoja anapenda kusoma vitabu na upstairs anaonekana yupo vizuri ana mada yake ya usomaji vitabu.
King'asti am miongoni nwa mabinti wakongweakishirikiana na wenzake kina @ wakichangamsha jukwaa la malavidavi hapa jamiiforums
Hao ni kwa uchache
Thank you for your candour.
Pleasure is entirely mine, mkuu!
Umri wangu ni > 35 yrs < 40 yrs 😁😁
 
Kuna huyu Mitchell98 sijui kabadiri ID hata simpati kabisa sikuhzi, huwa ananikosha na mwandiko wake wa kulala
 
Back
Top Bottom