Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes mambo vipi?
Shukrani sana kindikinyer leborosierJoanah, sijawahi kumwona ila ananivutia tuu, anavyo changia mada zake!
Haya usiwaze 😃😃Salama kabisa....mwambie basi shem nae aache kukaba mpaka penalty bwana, tunakumiss sana kule uwanja wa fisi🤣🤣🤣🤣
Poa tu asee!Yes mambo vipi?
Wacha buana 😃😃😃Poa tu asee!
Ujue mimi nishamaliza azimio la uzi🤣🤣
Unakuaje na crush na mtu humjui humuoni just txt tu ..acheni umbumbumbumbumbu mbululuHabari wanaJamiiForums..!!
Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwaletee mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.
We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na kuwa mazuri. Usikaushe kaushe maisha ni mafupi / tunaishi mara moja.
Mtaje tu..😊
NB: Please, Crushes remain Crushes! Dont start to PM anyone and start disturbing them 😆
Hivyo yani, kwa nini niitese nafsi?Wacha buana 😃😃😃
Tumalizane kabisa crush... 😍😍
Hizi age wengi ni ma single mother kifupi hawana soko tena mileage imeenda ..hata kama ni gari hupaswi kuweka ile oil nyepesi 5w30..humo ni mwendo wa SAE40 Boeing 747 KndNo1Thank you for your candour.
Pleasure is entirely mine, mkuu!
Umri wangu ni > 35 yrs < 40 yrs 😁😁
Uzi wa kula tunda kimasihara mremboUzi gani?
Masikio yangu siku hizi hayafanyi kazi, siwezi sikia 😂🤣Usiseme kwa sauti bwana makaveli10 atakuskia
😂 😂 😂na mtoto anajua kucheza na de libolo hatari
Una ukorofi ambao sijapata tiba yakeUnanionea mama watoto, mbona sio mkorofi siku hizi 😔 😔
Kama hayasikii itakuwa vizuriMasikio yangu siku hizi hayafanyi kazi, siwezi sikia 😂🤣