Who is Your JamiiForums Crush?

Who is Your JamiiForums Crush?

Habari wanaJamiiForums..!!

Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwaletee mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.

We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na kuwa mazuri. Usikaushe kaushe maisha ni mafupi / tunaishi mara moja.

Mtaje tu..[emoji4]

NB: Please, Crushes remain Crushes! Dont start to PM anyone and start disturbing them [emoji38]
[emoji28]crush wangu kampenda mwingine huyu mwingine nae nmeona ana mwingine[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Unataja kumbe ni lidume lenye midevu kabisa.
Hii jeifu sio kabisa hii majitu yenye id za ke na me ni wengi kweli.
 
Mimi namkubali Joanah ,, huyu mrembo anaonekana hana pigo za kislay queen,pia anaonekana anafuatila mambo mengi sana hata ukiwa nae mtapiga story kama muhuni tu
 
Back
Top Bottom