Who is Your JamiiForums Crush?

Who is Your JamiiForums Crush?

Kabisa.

Na hiyo inanidhihirishia wazi kwamba sifahamiani na watu humu mjini Jeiefu.

😎
hiyo inatokana na kuingia jf Kwa kuvizia vizia mfano umekaa nje ya jf karibia wiki so unakuwa km unasahauliwa

hauko active sn
 
hiyo inatokana na kuingia jf Kwa kuvizia vizia mfano umekaa nje ya jf karibia wiki so unakuwa km unasahauliwa

hauko active sn
Wacha nipAmbane ndugu yangu hakuna namna..

Nikiwa active sana huku mambo yatakuwa hayaendi
 
Habari wanaJamiiForums..!!

Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwaletee mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.

We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na kuwa mazuri. Usikaushe kaushe maisha ni mafupi / tunaishi mara moja.

Mtaje tu..😊

NB: Please, Crushes remain Crushes! Dont start to PM anyone and start disturbing them 😆
Waeleze hao wakuelewe.Wachungaji tupo hapa wa kuwaombea baraka.Haleluya!
 
Back
Top Bottom