Who is Your JamiiForums Crush?

Who is Your JamiiForums Crush?

Kama kuna kitu sijawahi kufanya ni 3sum hata kipindi nilipokuwa mlevi 2017 kurudi nyuma najaribu ku-imagine sipati picha juu ya mjakaranda na pisikali 2 [emoji39] nikupiga mpaka unasikia harufu ya sufuria iliyoungua
 
Habari wanaJamiiForums..!!

Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwaletee mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.

We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na kuwa mazuri. Usikaushe kaushe maisha ni mafupi / tunaishi mara moja.

Mtaje tu..😊

NB: Please, Crushes remain Crushes! Dont start to PM anyone and start disturbing them 😆
Chocs kipenzi nimekumiss my crush
 
[emoji28]crush wangu kampenda mwingine huyu mwingine nae nmeona ana mwingine[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cnaaa.
 
Back
Top Bottom