Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Ninakusalimu uncle BSWapenda amani wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninakusalimu uncle BSWapenda amani wote
Salama kabisa kipenzi,umefichwaNipo sana rafiki yangu.habari ya siku?
Salaam zimefika, Asante sana,Ninakusalimu uncle BS
😊😊Salaam zimefika, Asante sana,
Natumaini uko poa
😊😊😊Salama kabisa kipenzi,umefichwa
Mie sio mzima kabisa, maaana uko mbali kipenzi,namiss ukorofi wako😊😊😊
Sijafichwa kipenzi tutakuwa tunapishana.
Habari ya afya yako?
😊
😳😳😳😳😳Mie sio mzima kabisa, maaana uko mbali kipenzi,namiss ukorofi wako
Mungu Mwema😊😊
Niko salama kabisa ninamshukuru Mungu anazidi kuwa mwema kila wakati.Nisalimie familia huko🤗🤗🤗
We jamaa fanya tuunde mziki mzito
Asee nilijua mimi ni Takataka hapa JF hadi nikazima Notifications zote,Rayns
min -me
sweery
Vincenzo Jr
PSL god
raraa reree
Fundi manyumba
Mshana Jr
Nahisi naweza kujaza page nzima ila hao ndo naowakubali
Majukumu yameniandama mkuuSema jamaa umekuwa mwana mpotevu