Ninakusalimu uncle BSWapenda amani wote
Salama kabisa kipenzi,umefichwaNipo sana rafiki yangu.habari ya siku?
Salaam zimefika, Asante sana,Ninakusalimu uncle BS
ππSalaam zimefika, Asante sana,
Natumaini uko poa
πππSalama kabisa kipenzi,umefichwa
Mie sio mzima kabisa, maaana uko mbali kipenzi,namiss ukorofi wakoπππ
Sijafichwa kipenzi tutakuwa tunapishana.
Habari ya afya yako?
π
π³π³π³π³π³Mie sio mzima kabisa, maaana uko mbali kipenzi,namiss ukorofi wako
Mungu Mwemaππ
Niko salama kabisa ninamshukuru Mungu anazidi kuwa mwema kila wakati.Nisalimie familia hukoπ€π€π€
We jamaa fanya tuunde mziki mzito
Asee nilijua mimi ni Takataka hapa JF hadi nikazima Notifications zote,Rayns
min -me
sweery
Vincenzo Jr
PSL god
raraa reree
Fundi manyumba
Mshana Jr
Nahisi naweza kujaza page nzima ila hao ndo naowakubali
Majukumu yameniandama mkuuSema jamaa umekuwa mwana mpotevu