Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Wapumbavu tu ndio wanaweza kutumia lugha hii,eti wataalam wa kenya kwa kushirikiana na wale wenzao wa uingereza wamepanga kufanyia majaribio dawa ya corona iliotengenezwa uingereza. Dawa imetengenezwa uingereza unajiitaje mtaalam na kudiliki kufanyia majaribio dawa iliyotengenezwa nje c sawa tu na kutumika wakenya panya wa majaribio, utumwa kweli si kitu chema unakua mtumwa mpaka kimawazoNdio