Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Kuna changamoto sana ukiwa na mume anapesa
When he alive they say u dont deserve him na vitu alivyonavyo
When he dies u killed him

uyu mkewe they been together more than 20 years..how do u question that loyalty..anyways time will tell
Wabongo wengi wanapenda speculations za mambo wasiyoyajua mbele wala nyuma.
 
nimeona sehemu Trump anasema jamaa ndio alikuwa ameaanza kuishi maisha yake. Wakati kibongo bongo mtu akiwa na miaka 40+ ndio basi tena
 
That wasnt an error,thats his level of literacy...dont even argue with
I wholeheartedly agree.

Sometimes one just reads the way another writes and garner so much.

It does not surprise me how much we differ.
 
Umaskini mbaya sana, unakua na mawazo yakijinga tu.Smdh
 
Kobe is assassinated..

there was two louds... Bangs when the chopper was still on air.. Then exploded as it touched the ground.

Kobe is killed
 
Kobe is assassinated..

there was two louds... Bangs when the chopper was still on air.. Then exploded as it touched the ground.

Kobe is killed

Very possible.
 
Who killed Myles Moore?
 
English yenyewe hujui na bado unajadili mambo ya USA yenye kuhitaji ujuzi wa lugha hiyo ambayo wewe inaonesha bado unajifunza!!

Andika kiswahili haivutii unavyobabaika kujibu hoja kwa lugha usiyoifahamu Vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A topic for another day
His death broke my heart ever since the date he died to date. Man of God with his wife helicopter crash too. RIP Kobe and Myles Moore. Death is very unfair with no Mercy.😭😭😭RIP Jim Reeves, Aliyah, Walter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…