Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

His wife is not a white but is a latina , RIP legend
 
Pathetic post
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili inanibidi niisome tena historia ya Kobe.
Up to his death alikuwa haongei na wazazi wake?
Najua mwanzo wa ndoa yao had anapatikana mtoto wa kwanza ndio ilikuwa hvyo then mambo yakawa sawa
Uko sahihi
 
Alishapatana na wazazi, usipotoshe, mke wa kizungu wa kiafrika, wakichina sijuwi wa wapi wote ni wake, they are all pink in the middle, acha uzushi...
 
Kila maisha yanamwisho wewe!hata ukiwa nani utakufa,wangapi wamekufa katika umri mdogo zaidi ya Kobe huku wakiacha utajiri mkubwa kuliko wa Kobe.
Mungu hajaweka maisha ya milele duniani kwa binadamu,unataka kuona kama Kobe hakustahili kufa?kila kifo ni lazima kiwe na sababu,acha kuzuzukia utajiri na kujisahaulisha kutenda mema kwa kesho yako,EVERYONE DIES.
 
Vipi kuhusu AKA yake ya Black Mamba?
Kuna muvi inaitwa Kill Bill, sasa kuna muuaji hatari sana mule alitumia jina Mamba or black mamba(hawa ni aina ya nyoka wenye sumu kali sana na wakorofi sana)
so jamaa aliamua kutumia aka hiyo kwa uchezaji wake kweny kikapu uwe wa aina hiyo(aggressive and agile!)
 
Vice versa is true
 
Kwani wanawake wa kiafrika haqapwndi pesa ? Hakuna mwanamke hasiyependa pesa , hata hivyo mke wa Kobe sio mzungu ni latina ( Mexican -American)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…