Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Nimeshindwa kusoma,lugha mbili sehemu moja,unaandika kama unaongea tutakuelewa vipi?
Wakati mwingine watu tumechoka na shughuli zetu,sasa ukiweka uzi mrefu na bado umechanganya mambo hapo unapoteza wasomaji.
 
Shukuru mungu you are insignificant na Vanessa hajui kiswahili wote mngelimwa law suits.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sue me? For what cause of action ? Tell me msomi.

Anyways hata Marekani watu wameanza kuandika kuhusu nilicho kiandika and no one has sued them. So ur opinion is invalid.

Lastly: You are very right dadaI.am.not INSIGNIFICANT because I am

OUTSIGNIFICANT
 
U people think like kids. Do you think a person cannot kill his or her children because of money?

May be Kobe thought the same way and used her as a shield.

May be she had this fact in her mind.That people like you will think like u do.

# It's just an opinion. Not a fact
Out of topic
Jifunze tofauti ya May be na Maybe. Wengi mnachanganya. Sorry if I might have wronged you kaka!
 
Wabongo sijui tumelongwa, kuua siyo rahisi hivyo wanavyowaza
A wife that stands to gain more if Kobe lives than if he dies.

Yani hapa tunaona utamaduni wa unyanyapaa tu kutoka kwa hao wanaosema mke kaua.

Huyo mke atakuwa mjinga sana kumuua mume wake celebrity ambaye wamepita naye mambo mengi magumu, sasa wanataka kutulia walee watoto.

Tena atakuwa na kichaa cha ajabu kumuua mpaka binti yake mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema yote but the possibility that Kobe was assassinated is very big
If at all we are talking about possibilities, accounting for quantum effects and the Hugh Everett many world interpretation, the possibility that you WERE assasinated is very high also.
 
Wabongo wengi wanapenda speculations za mambo wasiyoyajua mbele wala nyuma.
Wazee wa "nyuma ya panzia" hawa ni mabingwa wa kutengeneza habari hasa kwenye vifo.

Alafu kuna wazee wa Fremason,hawa sasa ndio vichaa kila kitu freemason,wako tayari kukata gogo huku wakiwa wamesimama,siku wakisikia kuchuchumaa ni mkao wa freemason.
 
Wazee wa "nyuma ya panzia" hawa ni mabingwa wa kutengeneza habari hasa kwenye vifo.

Alafu kuna wazee wa Fremason,hawa sasa ndio vichaa kila kitu freemason,wako tayari kukata gogo huku wakiwa wamesimama,siku wakisikia kuchuchumaa ni mkao wa freemason.
Ni matokeo ya ujinga uliokubuhu.
 
Back
Top Bottom