Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Don't be naive ...Silly!
 
Anashindwa ninii?

Anyways my thread is not a fact. It is an opinion!!!
It is your opinion yes ofcourse....so what???!!ukiiweka wazi opinion yako mbele ya jamii huna budi kuwajibika nayo.Diversity and critical thinking nullifies your phrase of "it is my opinion".Uko vizuri katika conspiracy,bravo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Umekopi na kupesti
 
Life insurance unamaaanisha nini hapo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Life insurance unamaaanisha nini hapo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu yeyote anaweza kuwa na life insurance
Life insurance unalipa pesa kila mwezi katika kampuni pindi unapopata majanga kama KIFO
Inategemea umeweka ya kiasi gani kama ni tajiri unaweza kulipa nyingi zaidi na ukifa unalipwa hela ndefu sana
Kwa hiyo mtu wa karibu anaweza kufanya mbinu ya kukuuwa (simsemi Kobe )
Halafu kama ikithibitika umekufa kwa ajali au kifo cha kawaida hela analipwa uliemuandika in case anything happens


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Oooh ok...thanx mkuu nimeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me namsoma Likud tu. Ahahahah mnafurahisha sana. Kwamba mchawi hawezi kuandika kiingereza😎😎 .. mara uchwara mama ko😁
Daah..

Ila Mmetembeza english si mchezo. Likud na Kingsmann🤔
 
Oooh ok...thanx mkuu nimeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Pamoja sana
Unajua kuna watu wameweka bima sehemu za miili yao kama Kylie Minogue kuweka bima Makalio yake $5m kama yakipatwa chochote
Wapo wengi sana kama Mariah Carey bima ya sauti yake na miguu miwili jumla $35m
Dunia Ina mambo hii ukiwa na hela
Nimekumbuka tu Haya ya Insurance daaa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…