Mi ni mpenzi sana wa kusikiliza miziki hii ya kina bob, dube etc. Kuna msani wa south nilimfahamu kwa jina la senzo ambaye alikuwa mpiga drum wa luky dube. Nakumbuka vibao vyake vya rasta wakeup, irine,great conqueror, jah guide,worshiping ur love na vinginevyo. Bahati mbaya alipotea ghafla nikaja sikia amekufa, alikufa kifo gani? Kuna wengine walisema aliuawa na lucky, ni kweli? Alikuwa na familia? Hivi jina lake halisi alikuwa anaitwa nani? alitoa album ngapi akiwa hai? Asanteni.