Who killed Senzo?

Who killed Senzo?

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,986
Reaction score
5,058
Mi ni mpenzi sana wa kusikiliza miziki hii ya kina bob, dube etc. Kuna msani wa south nilimfahamu kwa jina la senzo ambaye alikuwa mpiga drum wa luky dube. Nakumbuka vibao vyake vya rasta wakeup, irine,great conqueror, jah guide,worshiping ur love na vinginevyo. Bahati mbaya alipotea ghafla nikaja sikia amekufa, alikufa kifo gani? Kuna wengine walisema aliuawa na lucky, ni kweli? Alikuwa na familia? Hivi jina lake halisi alikuwa anaitwa nani? alitoa album ngapi akiwa hai? Asanteni.
 
Duh unakikumbusha kitu mosh tech na album za senzo zilikuwa zinasikilzwa hatari
 
Back
Top Bottom