#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

... kuna kila dalili ya mtu kutafuna matapishi yake mwenyewe. Wenye akili sio wenzio; hakuna kusafiri hadi upate COVID-19 vaccination certificate/card; sijui Tanzania itachomokaje kwenye hili hususan viongozi wa serikali ambao kusafiri ni sehemu ya majukumu yao. Kweli Profesa Kabudi na maafisa wake mambo ya nje hawatasafiri?

Walikuwa wanatuangalia kwa jicho la dharau na kauli zetu uchwara; eti Tanzania hakuna Corona wakati kupima hampimi! How can you justify this? Sio kila kitu ni siasa; mambo mengne ni ya kisayansi na ni lazima yapelekwe kisayansi. Na bahati nzuri tuna Amiri Jeshi Mkuu mwanasayansi ngazi ya PhD.
Unajua natoka kusikiliza kauli ya meya wa Arusha alowavua masks wenzake. Nikauliza hivi hawa wanaoruhusiwa kuzungumzia COVID bongo ni wanasiasa tuu, hatuna madaktari ? Nikakumbuka kama mkuu wa nchi ni Phd nikaona basi tuko salama 😉
 
Sisi tusioweka kipaombele kutengeneza chanjo ya kwetu or rather kuzidadavua nje / ndani hizi chanjo za wenzetu hasa wazungu kujua ubora wake, ila kubakia tukilalamia bila prove kwamba huwenda zikawa na mapandikizo ya mambo mengine kutudhuru mwilini kwetu- naona kuna sehemu tunakwenda kunasa!! safari yetu si ndefu
Kunasa ni lazima tu,tungekuwa na jeuri ka la mrusi hapo sawa.Sisi hata chanjo ya kuku hatujawahi tengeneza jeuri la kugomea hiyo linatoka wapi.
 
Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano pekee.

===========

COVID-19: WHO races to develop vaccination card

As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a standard framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.

Bernardo Mariano, Director of digital health innovation, WHO, told DW.

Currently, yellow fever is the only disease specified in the World Health Organization's (WHO) International Health Regulations (IHR), which require proof of vaccination for entry to some countries. The yellow fever vaccination certificate is also the only proof of vaccination certified under the IHR.

Vaccination against COVID-19 is not part of the IHR yet, but a country can make a unilateral decision. Some countries already require a negative COVID-19 test to enter, and the next evolution of that will be requiring proof of vaccination, Mariano said.

A COVID-19 vaccination certificate to become compulsory for travel the world over, it would have to be part of the IHR, and that process would take a long time, Mariano said. But there are other avenues.

One such initiative is the CommonPass , a digital framework for verifying COVID-19 tests and vaccination certificates. Some airlines have already been rolling out the app to passengers on select flights.

Hapo sasa
 
Huko ni mbinguni?
We zwazwa, usilete mambo ya "sizitaki mbichi hizi!". Huko ughaibuni mnahitaji sana kwenda na mnapategemea sana.

We fikiria tu:ili mtu awe daktari bingwa haswa lazima akakazie maarifa ughaibuni,ili watu wa vyombo vyetu vya usalama wawe mahiri haswa lazima waende ughaibuni. Hawaishii kwenda Makutupora au Ngerengere tu.
 
Back
Top Bottom