#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

Unajua natoka kusikiliza kauli ya meya wa Arusha alowavua masks wenzake. Nikauliza hivi hawa wanaoruhusiwa kuzungumzia COVID bongo ni wanasiasa tuu, hatuna madaktari ? Nikakumbuka kama mkuu wa nchi ni Phd nikaona basi tuko salama 😉
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kunasa ni lazima tu,tungekuwa na jeuri ka la mrusi hapo sawa.Sisi hata chanjo ya kuku hatujawahi tengeneza jeuri la kugomea hiyo linatoka wapi.
 
Hapo sasa
 
Huko ni mbinguni?
We zwazwa, usilete mambo ya "sizitaki mbichi hizi!". Huko ughaibuni mnahitaji sana kwenda na mnapategemea sana.

We fikiria tu:ili mtu awe daktari bingwa haswa lazima akakazie maarifa ughaibuni,ili watu wa vyombo vyetu vya usalama wawe mahiri haswa lazima waende ughaibuni. Hawaishii kwenda Makutupora au Ngerengere tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…