Kwa uelewa wangu
Dunia na ulimwengu ni mali ya Mungu LAKINI shetani tangia ashushwe duniani ndo anaicontrol dunia JAPOKUA sio mali yake ni amepewa tu mamlaka ya kuitawala but sio yake....nasema hvyo kwa kuzingatia hata akati shetani anamjaribu Yesu jangwani alimuonyesha Yesu falme zote duniani na alimwambia Yesu ukinisujudia nitakupa vyote hivi vitakua vyako...Yesu akajibu imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako