Dunianyote imelalamika kuwa ripoti hiyo haiwezi kuwa independent, neutral and credible. Essence ya investigative ripoti ni kupata ukweli, ukweli usio na mashaka. Sasa consumers wanasema kitakachoandikwa hapo hatutakikubali kwa sabahu hakiko independent. Iko biased, corrupted at the onset and you name them!
Bado wameshupaza shingo.
Anyway, ngoja wapige hela na si ajabu wanalipwa a million Tsh a day or so!
Bado wameshupaza shingo.
Anyway, ngoja wapige hela na si ajabu wanalipwa a million Tsh a day or so!