WHO: Watu 871000 wanakufa KWA UPWEKE duniani Kila mwaka: 100 Kila baada ya Saa moja

WHO: Watu 871000 wanakufa KWA UPWEKE duniani Kila mwaka: 100 Kila baada ya Saa moja

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
KWA Mujibu wa Shirika la Afya duniani mtu mmoja kati ya sita anasumbuliwa na Tatizo la UPWEKE.

Tatizo hili hupelekea stress, magonjwa ya MOYO, kisukari na magonjwa yasiyoambukiza.

KWA wanafunzi hupelekea kushuka KWA maksi darasani, watu wazima hupelekea hata kupata ugumu wa kupata kazi na hata kuipoteza kazi aliyoipata.

Chanzo:

USHAURI;
Jichanganye kama unaona watu huwaelewi ajitahidi basi uwe na Urafiki na Yesu ili ajaze gap la UPWEKE taifa lisijepoteza NGUVU kazi KWA sababu za kuhepukika.

Nini maoni yako
 
Back
Top Bottom