Waonekana hufatilii mambo, nani alikwambia watu hao 30 wote wamekufa?
Kuganda kwa damu haimaanishi kuganda kwa damu yote kama tafsiri ya haraka inavyokuja ktk maneno ya kiswahili.
Hizo complications unazoongelea wao ktk tafiti zao hawakuziona, kama wewe umefanya tafiti ktk hizo ni vema utujuze na utuwekee link ya publication(s) zako.
Acha mihemko, wale ambao kwao yametokea matukio hayo wanasema ni salama kutumia chanjo hiyo. Sasa wewe wa Bhuza waminyana na habari za kuungaunga
View attachment 1743843