kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Mtakumbuka hivi majuzi yalitoleea matokeo ya utafiti ambao matokeo yake yalibainisha kwamba takribani 33% ya wanaume mkoani Dar Es Salaam wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Akizungumzia matokeo ya utafiti huo Mratibu wa Tafiti za Magonjwa Sugu kanda ya Afrika (WHO) Dkt Delphina Boaz amebainisha sababu "zingine" zinazopelekea upungufu wa nguvu za kiume mbali na vyakula na punyeto kua ni pamoja na Wanaume kupitishiwa kwa karibu na korodani mashine za kukagulia vifaa hatarishi vya usalama, mionzi na madini yanayotumika kutengeneza taa za Night Club (vimwekamweka), mionzi ya rimoti na komputa mpakato na ameeleza kwamba sababu zingine anazijua mgonjwa mwenyewe.
Bi. Delphina ametahadharisha kwamba tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaweza kupungua, kuisha kabisa au linaweza pia kukua na kupelekea uhanithi kutokana na mwenendo mtu.
Kazi kweli kweli.
An ant on the move does more than a dozing ox.