Tetesi: WHO waweka bayana sababu za upungufu wa nguvu za kiume -Dar

Tetesi: WHO waweka bayana sababu za upungufu wa nguvu za kiume -Dar

Hili tatizo litaendelea kuwa kubwa siku hadi siku, kwa sababu watu hufikiria linatibiwa kwa siku chache tu. Dawa si kutibiwa kwa siku 7 wala mwezi bali ni kubadili Life style ambayo ni hatarishi kwa nguvu za kiume basi.
Nawashauri watu wa Dsm na kwengineko kubadili life style hasa ya kuishi kike kike. Mkifuata ushauri wa wataalamu, mtapiga Show za uhakika na Heshima itarudi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtakumbuka hivi majuzi yalitoleea matokeo ya utafiti ambao matokeo yake yalibainisha kwamba takribani 33% ya wanaume mkoani Dar Es Salaam wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Akizungumzia matokeo ya utafiti huo Mratibu wa Tafiti za Magonjwa Sugu kanda ya Afrika (WHO) Dkt Delphina Boaz amebainisha sababu "zingine" zinazopelekea upungufu wa nguvu za kiume mbali na vyakula na punyeto kua ni pamoja na Wanaume kupitishiwa kwa karibu na korodani mashine za kukagulia vifaa hatarishi vya usalama, mionzi na madini yanayotumika kutengeneza taa za Night Club (vimwekamweka), mionzi ya rimoti na komputa mpakato na ameeleza kwamba sababu zingine anazijua mgonjwa mwenyewe.

Bi. Delphina ametahadharisha kwamba tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaweza kupungua, kuisha kabisa au linaweza pia kukua na kupelekea uhanithi kutokana na mwenendo mtu.

Kazi kweli kweli.

An ant on the move does more than a dozing ox.
Kumbe ni tetesi!Owkeey ngoja niendelee na puchu mie!

Sikiliza Toka Kwangu!
 
Huo utafiti ulifanyikaje? Manake kujua jamaa jogoo halipandi naona ka changamoto!
 
sijapata kuona tafiti za kijinga,such shallow information i have ever seen. Kwahiyo mtu anakaa ofisi na kufanya utafiti kutumia kichwa chake.
 
kubwa hapa nadhani ni msongo wa mawazo hayo mengine nyongeza,kwa ujumla wanaume wa mjini wanakabiriwa sana na hili tatizo sio Dar pekee,hata miji/majiji mingine tatizo hili lipo
Mimi nafikiri hii ndyo hoja ya msingi zaidi kuliko hata hizo za tafiti zao, mwanaume anatumia akili nyingi sana katika utafutaji wa mali/pesa ni ngumu sana kuirudisha akili katika hali ya kawaida katika mapenzi ili hali kuna watu wanakutegemea....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafikiri hii ndyo hoja ya msingi zaidi kuliko hata hizo za tafiti zao, mwanaume anatumia akili nyingi sana katika utafutaji wa mali/pesa ni ngumu sana kuirudisha akili katika hali ya kawaida katika mapenzi ili hali kuna watu wanakutegemea....

Sent using Jamii Forums mobile app
alafu kingine hawaweki bayana uwiano uliopo kati ya hamu ya kufanya tendo lenyewe kati ya wanaume na wanawake ili hali sikuhizi Tanzania pia kuna wanawake wanatumia toys kujichua kingine unaambiwa Tanzania mwanaume kwa asilimia kubwa ndio mwamuzi wa tendo lenyewe hebu tazama mkanganyiko ulivyo hapo
 
sijapata kuona tafiti za kijinga,such shallow information i have ever seen. Kwahiyo mtu anakaa ofisi na kufanya utafiti kutumia kichwa chake.
Mkuu utafiti ulishafanywa sku nyingi na matokeo yalitolewa. Huyu mama ye amezungumzia matokeo "yale"...sio kwamba kafanya utafiti wake

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Wataruka weeeee hamna dawa. Issue ni stress tu hamna kingine, huo mlolongo wa, mahitaji unaokumbana nao ukirudi home unatosha kuuua hamu ya ngono. Mbona michepuko inatema mate kwa kisago???????? NA UTAWALA HUU WANAUME WENGI WATAPOTEZA 90% YA MTIFUANO(NGONO)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar wanaume wanavitambi sana. Mtu akipata job anaanza nyama choma na bia, chips mayai nk. Kitambi na shavu vinafumuka. Pumzi inakuwa ndogo na nguvu za kiume kupungua. Dawa ni mazoezi na kula mlo bora. Hasa mazoezi.
 
alafu kingine hawaweki bayana uwiano uliopo kati ya hamu ya kufanya tendo lenyewe kati ya wanaume na wanawake ili hali sikuhizi Tanzania pia kuna wanawake wanatumia toys kujichua kingine unaambiwa Tanzania mwanaume kwa asilimia kubwa ndio mwamuzi wa tendo lenyewe hebu tazama mkanganyiko ulivyo hapo
Hapo sasa mkuu kama sisi ndyo waamuzi wa tendo na una kuta mwanaume hayupo katika mood ya kufanya mapenzi kwa kuiwaza kesho itakuwaje hapo ndipo wanapohisi labda hatupo vizuri, wakati jina factors kibao zinazochangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo vijana luxury sana, wanagombania seat badala ya kusimama, mhindi wa kuchoma wanakula na limao na pili pili, hawafanyi mazoezi kazi kujipodoa , siku hizi hata kuvunja mhindi hawawezi wanakata na kisu, kula chips kwa toothpick halafu anataka sex wakati bao moja ni sawa na kutembea 7kms yeye hata kutembea kwa miguu 1km hawezi halafu anatafuta mchawi wa kuishiwa nguvu za kiume wakati yeye binafsi anaishi ki softly kama mtoto wa kike, wote warembo usoni.

Baadhi ya mambo uliyosema hapa ingawa si ya uthibitisho wa kisayansi lakini nakubaliana na wewe kwa kiwango fulani. Vijana sasa hivi wamebaki kubeba mabegi mgongoni kama mafala vile, anaingia kwenye daladala na begi mgongoni anakaa kwenye siti na begi mgondoni uvuvu tu😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom